The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

Shauri yenu, mwaweza umbuka jamaa akitoka kidedea! Mimi sijui!!! Ngoja tusubiri tuombe afya njema na uhai siku hiyo tuione
 
Inategemea siku hiyo muungwana ameamka vipi!
hakuta kuwa na jipya hata awe ameamka vp,

nachokiona ni kuundwa kwa tume ya siki 75 halafu repot yake ipelekwe kwa raisi af nae aipeleke kwa waziri wa ulinzi af waziri waulinzi aither afe au aseme hela si zetu hazituhusu ni za waliotoa msaada
 
Shauri yenu, mwaweza umbuka jamaa akitoka kidedea! Mimi sijui!!! Ngoja tusubiri tuombe afya njema na uhai siku hiyo tuione

nahotuba yote ile ya JK pale bungeni hukuona muelekeo wa hii nchi uhuru wa fisadi tuu?
 
Inategemea siku hiyo muungwana ameamka vipi!

Unamfano wa siku aliyoamka sawa na cheche event iliyojiri???

Nadhani hili linategea zaidi chama kuamua kujisafisha. ila kama bado wanajiona wasafi mambo ni yaleyale wimbo waupendao utaendelea kurindima.
 
Hapo tunasubili tu iundwe TUME TUMECHOKA ndo jibu lenyewe.
Na hii itawagharimu sana CCM fatilieni Musoma huko operesheni Sangara inavyo zoa watu toka CCM aibu tupu.
 
kwa Kweli Chenge has been a disgrace and an embarrassment to this nation and to the legal profession.
Mimi nadhani hawa wachunguzi probably watafanya kazi yao kwa uhuru na haki without the disturbance ya hongo ama interference from other outsiders!
Lets hope hiyo account ifilisiwe angalau tujue kuna fisadi kapoteza some amount of money!
Its not a must washinde kila kitu tuu!
 
Jamani report ya SFO ni waingereza wenyewe haituhusu sisi, atakachosema ni kuwa waingereza wamechunguza kwa ajiri yao na sisi tutaunda tume kuchunguza kivyetu. hakuna chochote kitachofuatia baada ya hapo kwani wanaamini kuwa watanzania wanasahau haraka sana.
 
kwa Kweli Chenge has been a disgrace and an embarrassment to this nation and to the legal profession.
Mimi nadhani hawa wachunguzi probably watafanya kazi yao kwa uhuru na haki without the disturbance ya hongo ama interference from other outsiders!
Lets hope hiyo account ifilisiwe angalau tujue kuna fisadi kapoteza some amount of money!
Its not a must washinde kila kitu tuu!

Mkuu ufilisi huo labda kama utafanywa hukohuko nje.Unfortunately, account haiwezi kufilisiwa bila "due process" baada ya report ya uchunguzi..

Kama alivyosema Tuandamane hapo juu, uzoefu wa Tz unaonyesha kuwa baada ya uchunguzi wa Kitaalam kukamilika na report na mapendekezo kutolewa, kinachofuata ni another "Tume" kuchunguza kilichoonwa katika uchunguzi wa awali na kutoa report nyingine na mapendekezo..halafu mkuu kuamua nini kifanyike.... its so cyclic mpaka inaleta kizunguzungu! In the process watz wanachanganyikiwa hadi wanasahau kulikuwa na ishu gani.

Ufilisi therefore will never happen Mkuu!
 
Serikali inadhamiria Kujiosha ili kidogo kurudisha Imani ya wapiga kura iliyopotea...Hii ni Strategy kuelekea 2010.Kuna makubwa yatatokea lakini hiyo ni kutafuta Kura tu!! Kesi ya Mahalu itafikia mwisho soon na jamaa inaonekana atakutwa na HATIA.....Mkewe nae atapelekwa Mahakamani kwa ajili ya mambo ya EPA....hatua hii italeta kizaa zaa kwa sababu na Mzee Warioba yumo kwenye umiliki/uongozi wa Mwananchi Gold.Yetu macho!!
 
Serikali inadhamiria Kujiosha ili kidogo kurudisha Imani ya wapiga kura iliyopotea...Hii ni Strategy kuelekea 2010.Kuna makubwa yatatokea lakini hiyo ni kutafuta Kura tu!! Kesi ya Mahalu itafikia mwisho soon na jamaa inaonekana atakutwa na HATIA.....Mkewe nae atapelekwa Mahakamani kwa ajili ya mambo ya EPA....hatua hii italeta kizaa zaa kwa sababu na Mzee Warioba yumo kwenye umiliki/uongozi wa Mwananchi Gold.Yetu macho!!

Mkuu samahani sijaelewa, unamaanisha mke wa Mahalu? Anahusika vipi na EPA? Usinisababishe kuanza kuvutiwa na zile tetesi zilizozagaa kuhusu kesi ya Babu Seya!
 
Hatima ya Chenge wiki hii

"Awali katika mahojiano na Majira Jumapili, miezi kadhaa iliyopita, Serikali ya Jersey ilitangaza rasmi kuwa itachukua hatua kali dhidi ya Bw. Chenge ikiwamo kutaifisha fedha zote za akaunti hiyo ambayo kwa sasa imezuiwa, iwapo itabainika hakuzipata kihalali.

Katika taarifa hiyo, ilisema kwa mujibu wa sheria za visiwa hivyo, wana uwezo wa kufanya hivyo kama walivyowahi kutaifisha fedha za kiongozi wa zamani wa Nijeria, hayati Jenerali Sani Abacha."

Kwani pesa zikitaifishwa tunapewa sisi au New Jersey wanachukua wao??? Kama wanachukua basi tutakuwa tumeliwa mara mbili. Rada tumelanguliwa na inaendelea kufyonza pesa za matengenezo na hata hizo ambazo tungeokoa wanachukua wao. Haki ya nani ng'ombe wa masikini hazai.......!!!
 
Sakata la vijisenti: Chenge mambo bado mazito


*Mwanasheria Jersey aingilia
*Makachero watokwa jasho

Na Mwandishi Wetu

HATIMA ya uchunguzi kwenye akaunti iliyoibua utata ya aliyekuwa Waziri wa Miundombinu, Bw. Endrew Chenge iliyokutwa na zaidi ya sh. bilioni moja visiwani Jersey bado limeendelea kuwaumiza vichwa makachero na sasa hatima ya lini ukweli utajulikana, imebaki kitendawili.

Wiki mbili zilizopita gazeti hili liliripoti kuwa Serikali ya Jersey kupitia ofisi ya Waziri Mkuu, iliahidi katika mawasiliano yake na gazeti hili kwa njia ya baruapepe kuwa ingefuatilia hatua zilizokuwa zimefikiwa ili kubainisha uchunguzi ulipofikia.

Hata hivyo katika mawasiliano yake na gazeti hili kwa njia ya baruapepe mwishoni mwa wiki iliyopita, Msemaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu wa Jersey, Bi Carthy Cair alisema kwa sasa tamko kuhusu kilichobainika haliwezi kuwekwa hadharani tena.

"Nimewasiliana na wataalamu wa sheria kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu kuhusu wapi wamefikia, inaonekana kwa sasa bado hawawezi kutoa taarifa," alisema Bi. Carthy.

Hatua ya viongozi wa visiwa hivyo kubadili msimamo tofauti na awali waliposema wangekuwa tayari kuweka hadharani inaonesha jinsi uchunguzi huo ulivyogubikwa na utata na usiri mkubwa.

Si Jersey tu hata nchini Uingereza nako sakata la rada kwa ujumla linaonekana kuwatoa jasho hata makachero wa Idara ya Kupambana na Ufisadi (SFO) ambao nao kwa sasa wamekwishachukua zaidi ya miaka miwili wakilichunguza suala hilo.

Chenge aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Tanzania katika Serikali ya Awamu ya Tatu, amekuwa akichunguzwa iwapo naye ni mmoja wa maofisa wa Tanzania waliofaidika na kamisheni ya zaidi ya sh. bilioni 12 ambayo ilitolewa katika kuwashawishi vigogo wa hapa nchini wakubali ununuzi wa rada ambayo imebainika kuwa kuukuu na iliyopandishwa bei.

Wachunguzi hao walipompekua Bw. Chenge Dar es Salaam na katika akaunti zake za nje ndipo walipobaini kuwepo kwa kiasi cha pauni takribani 500,000 (zaidi ya sh. bilioni moja) alizokuwa amezihifadhi kwenye visiwa hivyo ambazo walizitilia shaka na kuanza kuchunguza uhalali wake.

Alipobanwa na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam kuhusu fedha hizo, Bw. Chenge alionesha kuzidharau kuwa ni kiasi kidogo mno ambacho asingepaswa kufuatwafuatwa akiziita 'vijisenti,' neno lililoibua mjadala mkali na shinikizo zilizomfanya ajiuzulu wadhifa wake.

Ofisi ya Waziri Mkuu wa Jersey awali nayo ililithibitishia gazeti hili kuwa pamoja na uchunguzi wa SFO kujikita zaidi katika kuangalia iwapo fedha hizo hazikupatikana kihalali, nao wangechunguza na hatua ambazo wangezichukua iwapo watabaini si fedha halali ni kuzitaifisha.

Akisisitiza kuwa kwa sasa bado hawako katika nafasi ya kutoa taarifa kamili ya uchunguzi huo, Mwanasheria Mkuu wa Jersey, Bw. William Bailhache naye alisema katika mawasiliano hayo na Majira wiki iliyopita kuwa anabanwa kueleza walipofikia kwa mujibu wa sheria aliyoitaja kuwa ni "Investigations of Fraud (Jersey) Law, 1991."

"Kwa hiyo naendelea kusisitiza kuwa sikatai wala sikiri kuwa tunaendelea kuichunguza akaunti ya Bw. Andrew Chenge," alisema Bw. Bailhache katika baruapepe hiyo.
 
Kazi ya uchunguzi nauhakika watakuwa wameifanya vizuri.But sijui na sidhani kama serikali yetu itachukua hatua.We can learn from what is goin on now.Unless otherwise our government decided to use this for clarification of itself toward 2010!
 
Daah, Mkulu hili jiwe kubwa ati. Ukilichambua kidogo unakutana na vitu viwili vitatu vya haraka haraka:

---Ameamka vipi- inatanguliwa na amelala vipi
---Amelala vipi- inatanguliwa na amelala wapi
---Amelala wapi- inatanguliwa na amelala na nani
---Amelala na nani-........nakadhalika.....
... I like this Steve D........Ni kweli decision making inakuwa infulenced na vitu vingi sana miongoni mwao yakiwemo hayo uliyotaja hapo......
 
Kazi ya uchunguzi nauhakika watakuwa wameifanya vizuri.But sijui na sidhani kama serikali yetu itachukua hatua.We can learn from what is goin on now.Unless otherwise our government decided to use this for clarification of itself toward 2010!

My dear,this good for nothing government has done way too much blunders such that just one Chenge's Case can not change what people already feel for this government!
What Jk is doing together with his bandits is giving cheap solutions to complex problems!
 
Ex-partner of radar fugitive donates 400m/- to CCM

THIS DAY

TANIL Somaiya, a former business partner of radar fugitive Shailesh Vithlani, has donated more than 400m/- towards the upcoming national election of the Chama Cha Mapinduzi’s youth wing (CCM-VIJANA).

Somaiya presented various election materials to be used in the VIJANA national leadership polls worth hundreds of millions of shillings.

The election materials, worth an estimated 400m/-, were handed over to CCM in Dodoma yesterday, where the ruling party held its national executive committee (NEC) meeting.

According to reports from Dodoma, the businessman presented his donation at the CCM headquarters in the designated capital.

The Tanzania Revenue Authority (TRA) has been investigating a customs bonded warehouse owned by one of the companies under the Shivacom Group in Dar es Salaam on allegations of tax fraud.

The company linked to Somaiya, Incar (Tanzania) Limited, was among a total of 22 bonded warehouses recently shut down indefinitely by TRA.

Incar (T) Ltd, the local agent of the Italian-made IVECO vehicles, had previously won a hugely controversial tender to supply hundreds of military trucks and buses to the Tanzania People’s Defence Forces (TPDF).

Somaiya and Vithlani have both been questioned under oath at the Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam over their alleged connections with the radar corruption scandal.

Both businessmen admitted that they had power of attorney - a legal instrument used to delegate legal authority to them - to act on behalf of Envers Trading Corporation, a company alleged to have received illegal kickbacks for the radar transaction.

According to investigators, Envers Trading Corp. was paid $12m (approx. 15bn/-) by Red Diamond Trading, another shadowy company set up in the British Virgin Islands in 1998 by a firm linked to Britain’s BAE Systems, manufacturers of the overpriced air traffic control system sold to former President Benjamin Mkapa’s government in 2002.

When subjected to questioning by British detectives, Somaiya admitted that he was given power of attorney over Envers Trading Corp. for a period of 11 months.

But he insisted that he had no other involvement with the company, and was not even aware of the company’s official location.

Official documents from the Kisutu resident magistrate’s court in Dar es Salaam show that the courtroom grilling of both Vithlani and Somaiya was conducted in 2006 by assistant detective sergeant Steve Rosenthal of Britain’s Ministry of Defence Police and another investigator from the UK’s Serious Fraud Office (SFO), Carl Brown.

The two were interrogated under oath before Kisutu Resident Magistrate Katarina Revocati on two separate occasions - July 25 and July 28, 2006.

At the time of the interrogation, Somaiya admitted he was a co-owner of the city-based Merlin International company with Vithlani, whom he described as his ’’very good friend.’’

’’Shailesh Vithlani is a very good friend of mine. He is also a director of Merlin International. I don’t know if he is the owner of Envers Trading ... I transferred to him the power of attorney. I don’t know whether he is the owner,’’ the court documents quote Somaiya as saying during questioning.

On his part, Vithlani told the court in his sworn testimony that he was running Merlin International as a consultancy firm with ’’other owners ... one (of them) is Tanil Somaiya.’’

Vithlani has since been charged at the Kisutu court with committing perjury and making false statements to an investigating officer, with prosecutors alleging that he lied about not being the owner of Envers Trading and about receiving a $390,000 commission for the radar deal while he was actually paid $12m.

The fugitive businessman was charged in absentia and remains at large, despite an international arrest warrant issued for him.

According to THISDAY investigations, Somaiya informed the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) through his lawyers that he ceased being a shareholder and director of Merlin International on January 8, 2007.

However, despite reportedly severing all his business ties with Vithlani, Somaiya was business a partner with the wanted fugitive at the time the radar deal was concluded. It remains uncertain whether or not authorities consider him a formal suspect in the ongoing radar investigation.
 
VIJISENTI PESA ZA WALALA HOI????

According to the dataz, Chenge sasa yupo London akiwa chini ya ulinzi wa makachero wa UK, akiwasaidia kuhusiana na uchugnuzi wa Radar. Habari nyeti nilizozipaata jana ni kwamba Chenge aliondoka kwa siri hapa nyumbani bongo kuelekea London, majuzi usiku ambako alikuwa akitakiwa kisheria na wachunguzi wa huko ambao ndio walioibua kashfa ya zile "Vijisenti". Huko London, alipokewa na makachero hao mara tu alipofika kwenye uwanja wa ndege, ambao walimpokea na kutokomea naye kusikojulikana.

According to more dataz, ni kwamba Muungwana was approached na makachero hao wa UK, hata kabla ya kikao cha CCM Butiama, na kwamba hata alipokuwa anachagua baraza la mawaziri tayari alikuwa anazo habari za Chenge na "Vijisenti", lakini hakutaka pupa. Dataz hizo zinasema kuwa hata kabla ya kwenda India, Muungwana alikuwa tayari ameshawapa makachero wa UK, kibali cha maandishi cha kumshika, na kum-search Chenge, as much as they wanted or see fit!

Kabla ya kwenda Butiama, Chenge was approached na makachero hao wa UK lakini akawajibu kijeuri sana kuwa yeye ni mtu mkubwa sana hawezi kutishwa na wakoloni, ndipo wazungu walipomuonyesha warrant maalum iliyoandikwa na kusainiwa na Muungwana, Chenge almost fainted, lakini akakubali na kuchukuliwa na makachero hao, walioi-search nyumba yake upside down kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa mbili usiku, na kupata ushahidi mwingi waliokuwa wakiutafuta na kuondoka nao, na muungwana alimpa order ya kuendelea kuwasaidia hadi watakapomaliza uchunguzi wao, na baada ya kujiuzulu Chenge aliambiwa ajitayarishe kwenda UK kushiriki kwenye kuwasaidia zaidi makachero hao wakizungu, ambako ndio alienda rasmi majuzi na yuko huko bado.

Halafu dataz zaidi pia zinasema kuwa mapesa mengi na mali za mafisadi zimeszuiwa na serikali kwa siri kubwa sana, the matter of fact hata nyumba za mafisadi wengi zilizoko SA ikiwemo ya Mkapa pia zimeshikwa na serikali tayari, ikiwa ni pamoja na mapesa yao yote yaliyopo hapa bongo.

Mafisadi wengi wamejaribu kumfuata Mkono ili awasadie, akiwemo Chenge pia, lakini according to the dataz hata Mkono amewaruka wote, baada ya kupewa a very strong warning na muungwana kuwa akae mbali nao, now mnyonge anyongwe, lakini haki apewe on this.

....More Dataz to Come Soon....
 
Mbona hii habari sielewi ni ile ya May au ni mpya?
Naona imekuja kivingine vingine! Jamaa saizi si anapumua yupo wapi ES atuhakikishie kuhusu huyu mkulu.
 
Back
Top Bottom