Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,718
Mzee MKJJ
Vyombo vya habari hata kusema maandamano yamefanyika wamesindwa wataweza kupokea pesa na kufanya matangazo ? Serikali ya JK na EL ni serikali fedhuli . Wamehakikisha ujumbe haufiki mbali na hivyo vyombo vya habafri ni waoga kupokea ujumbe huo na kuusambaza . Haya ni maoni yangu lakini pia ndiyo hali halisi . Vyombo vimebanwa na kumbuka vingi owned na supporters wa CCM ambao wao Nchi si muhimu bali CCM na maslahi yao na wake zao .QUOTE] WELL SAID. JAMANI NASISITIZA TENA....BARUA HIYO YA KUZUNGUSHA KWENYE MTANDAO HAYO MAMANDAMANO TAYARI NI HISTORIA. LEO ASUBUHI KILA MVUJA JASHO ANATAFUTA CHAKULA CHAKE NA WATOTO WAKE. WENZETU WALE "AKAUNTI ZAO ZIMESHANENEPA WANA UHAKIKA WA KILA KITU ....HADI VITUKUU WAO"!
Wana jambo....lets agree on way forward na sisi tufanye nini ...."kuendeleza effectya maandamano"
Jamani, tusifanya mambo kwa haraka, kila kitu its about timing. Sasa, kwanza kabisa kabla hatujafanya lolote, lazime tudefine lengo letu ni nini. Vingine vinakuja baada ya hapo. Mama Lu, lengo la waraka huo ni nini?
Naona naanza kueleweka.......pia iende balozi zote nyeti...USA, Uingereza, Scandinavian Countries etcIandikwe barua (au ile uliyokwishaandika) ya kulitaka bunge lianzishe uchunguzi juu ya manunuzi ya radar hasa katika mambo mawili:
i) kama bei iliyonunuliwa ilikuwa ni halali
ii) ni akina nani Tanzania walipewa hizo $30m
Hiyo barua izunguke watu tuweke majina yetu halisi iende kwa speaker na kila mbunge wa bunge letu ?
.....PRESSURE PRESSURE WALIOKULA MLUNGULA WAWEZE KUWA PUT TO TASK..AU SIVYO HAWA WAFADHILI WASIMAMISHE HIYO MISAADA INAYOWANUAFAISHA WACHACHE.KAMA TUNAWEZA KU ENTERTAIN ONE PERSON KUPATA 12 BILLIONI WAKATI HOSPITALI HAZINA VITANDA ....Mzee Mwanakiji...hii barua iwe na maelezo ya kina kuhusu huu "uozo". Magazeti ya bongo hayaelezei hizi details kama humu yenyewe yanakuwa ni watu wa "headlines " ili wauze at the same time ...wapendwe na serikali.In simple terms watu waelewe kuwa "tumeibiwa, tumedanganywa na kuna rushwa imeendelea!". Tu waambie wananchi hizi pesa zingewezaje kutumika vizuri zaidi nchini(examples).Na tuseme what we need...waliohusika wawe put to task! NDIO MAANA YA UTAWALA BORA!!!!!!!!!PUT PRESSURE TO THE PUBLIC.
Sasa iwe ni barua ya Kiingereza (walengwa ni wafadhili na nchi za nje) au ya Kiswahili (walengwa ni Watanzania wenzetu)?
WAFADHILI SI NDIO WALIOSHINIKIZA TUNUNUE HIYO RADA?