...Mkuu lile joto nadhani linapanda kwa kasi inayohitajika sasa kama katumwa mjumbe ngoja tumtolee macho tuone anarudi na nini nahofia asije kupotelea huko huko iwapo atapatiwa kakipande ka kamnofu...Bwawa limeingia ruba hilo kila mtu kwa wakati wake!!!