Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
Uambiwe na nani?
Duh,hapo nimecheka kidogo nizimie!
Hivi huyu jamaa mbona anongea kama vile yeye ni kijukuu cha vijisenti.Yaani ameamua tu kukomaa.Dah!
Uambiwe na nani?
Kwanini asijibu ili uendeleze uvumi kuwa kafa ndio maana hajibu. Huwa hamjui mtakalo ndio shida ya wabongo. Sasa baada ya kusikia sauti yake umejua yu hai au bado una wasi wasi
Hapana Mkuu! Hauwezi kulinganisha hata siku moja hali iliyojiri Tanzania na ile iliyokuwa Afrika Kusini. Hatujawahi sisi kuwa na utawala dhalimu kama wa makaburu. Mandela angeweza kuamua kulipiza kisasi na wengi wetu tungemuelewa. Sijui kama unakumba lakini mapigano na mauaji baina ya wafuasi wa ANC na wale wa chama cha Chief Buthelezi yaliishaanza. Watu walikuwa wanuana ovyo kwenye hostels. Si hizi ngonjera zetu za kila siku, kule chuki na fujo viliishaanza. Ni yeye aliyeweza kuzima kwa kumkaribisha Buthelezi na kumfanya makamu wa rais ingawa ANC ilishinda uchaguzi kwa kishindo. Ilifika hata kuna wakati alisafiri na kumuachia Buthelezi nchi! Ni kiongozi gani wa kiafrika angeweza kufanya hivyo? Sisi hapa tunapata kigugumizi kukabili matatizo ya Zanziba ambako wote tunajua CUF wanakubalika na sehemu kubwa ya jamii? Makaburu waliishaanzisha kasehemu kao mpaka hapo Mandela alipowafuata kuongea na mjane wa nadhani Vorster! Hawa waliomfunga kwa miaka 27! Nani katika viongozi wetu angeweza kufanya hivyo? Nchi ilikuwa imegawanyika imewagawanyika katika michezo ( na kuna ushabiki gani unaoshinda wa kwenye michezo, pengine wa dini) akawaunganisha wakati wa mashindano ya dunia ya Rugby. Huyu bwana aliitwa kama shahidi (akiwa rais) mahakamani akaenda na kukubali kuapishwa kama raia mwingine. Huyu ndiye aliyeanzisha the Truth and Reconciliation Commission kujaribu ku'heal' jamii ya watu wake badala ya kukimbila kwenye visasi. Sasa hivi nchi nyingi zinaiga mfano huu. Na zaidi ya yote, baada ya term moja akaamua kuachia ngazi! Ana matatizo yake kama binadamu wengine lakini hatuwezi hata siku moja kumfananisha na hawa wa kwetu. Yeye na huyo mwengine ambaye hawa arm chair revolutionaries wana gall ya kumuita kibaraka, Archbishop Tutu, ni watu ambao mimi kama mwafrika wananihakikishia kuwa SIVYO TULIVYO.
Amandla!
Shilingi ya Nyerere katikati kuna mwenge!..dolly dolly, dolly Samora!
Hivi kama contract kachemsha hivyo, waTanzania wanasubiri nini kuzibadilisha sasa? All you do is complain and complain, kama uchungu wa nchi upo, nini kinawazuia hayo mabadiliko?
Hivi kama contract kachemsha hivyo, waTanzania wanasubiri nini kuzibadilisha sasa? All you do is complain and complain, kama uchungu wa nchi upo, nini kinawazuia hayo mabadiliko?
Damn grown-ass man sounding like some pissy spoilt kid again. Only a moron could make such a shallow and corny statement! Has somebody ever told you that revocation of mining contracts etc with multinationals like Barrick could lead to potentially serious legal and economic ramifications that a dirt-poor country like Tanzania possibly would have a really tough time dealing with?
Brilliant job Kokolo! Mayn, we truly must be f#cked! Bila mtutu, Watanzania will continue taking it up their arses for real. And thats no lie.
Under normal circumstances, with the garbage coming out of your mouth, I would prefer to ignore you.
But I note you suffer from selective quotation disorder;
FM just put a thread that Karamagi's contract is being terminated....You will say, yeah but he is Tanzanian. And thats why I say 'Tanzanians are controlled free men! Take that'. If people want change, change will happen.
Mkono yuko Finland?
One fisadi, one bullet! And your big-headed, Harvard educated, thieving and scamming uncle Chengay deserves nothing less! Nyambaaf!!
Kama logic ya kuwahukumu mafisadi ndiyo hii, basi pole kwa watanzania wote wenye logic yako.
Mimi natoa arguments for debates sake. Sasa ukianza accusations na matusi, uwe tayari kutoa proof. With such an insult, i think I have grounds for asking the Admin/Moderator for your details as you are publicy slandering me by assuming I am related to Chenge.
Respect the technology and the freedom you have infront of you and it shall respect you!!
MEANING WATANZANIA WOTE WENYE KUPIGA KELELE INCOME YA CHENGE HAWANA AKILI, WEWE NDIO MWENYE AKILI NA HIZO CHEAP STATISTICS WHICH ARITHIMETICALLY DONT MAKE LOGIC COME 30 YEARS, GO BACK TO SCHOOL.
Mimi natoa arguments for debates sake. Sasa ukianza accusations na matusi, uwe tayari kutoa proof. With such an insult, i think I have grounds for asking the Admin/Moderator for your details as you are publicy slandering me by assuming I am related to Chenge.
Respect the technology and the freedom you have infront of you and it shall respect you!!
What realistic and persuasive arguments have you provided so far other than peddling infantile fantasies and silly lies? What's clearly obvious here is that so-called "well-educated" people like you and your uncle Chengay think Tanzanians are all a bunch of illiterate fools that can be cheated and deceived at will anytime anywhere.
As for your claim concerning the Buzwagi contract being repealed, can you provide any reliable official source to back it up?
Hahaaaa,Nzoka, nakubali kuwa Nyama Hatari tangia kwenye post yake ya kwanza kwenye thread hii amekuwa VICIOUS & RECKLESS kwa maneno makali makali..... lakini nawe kutuambia kuwa tunafanya nini kubadilisha mikataba mingi ya Tz aliyo isimamia yeye , nako kunaonesha hali fulani hivi ya incitement......
Mimi nimependa hoja yako kwani ulitaka ku- conceptualize kitu ambacho unaona kitawafanya Wabongo wafikirie upande mwingine wa shillingi. Na kama ulivyosema kwenye post moja kumjibu FMES, wengi tumekuelewa lengo lako. Tatizo ni statement kama hiyo hapo juu, inayosema si kingine bali: Wabongo Mtajiju.... kwa kweli hata mimi imenikwaza sana kuona mtu kama wewe unaitoa hapa... anyway, ng'wanone.... inabidi upumzike sasa, jumamosi leo...
SteveD.
At no point in this thread did i say I am well educated.
And I would like to kindly request you, infront of everyone here, that you retract your statement that Chenge is my uncle. By that, not only are you putting yourself in difficult position but JF too, as your words will rely on JF's collaboration and time wasting.
Nobody is talking about Buzwagi. Soma thread huko utaona mwenyewe.