jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,375
- 25,453
Ni Chenge amechoshwa na ujinga ama ni sisi wananchi tumechoshwa na ufisadi?He is not rude amechocha na ujinga wa baadhi ya watu hasa wanaovumisha maneno ya kuyaita Breaking news
Pls be specific!
Ni Chenge amechoshwa na ujinga ama ni sisi wananchi tumechoshwa na ufisadi?He is not rude amechocha na ujinga wa baadhi ya watu hasa wanaovumisha maneno ya kuyaita Breaking news
Hongera Mkjj, huyo Chenge anajibu kwa kiburi ila haitamsaidia kitu mambo yako hadharani na yatamnyima usingizi kwa sana! Whether anarudi ahera au anarudi Tz sheria ichukue mkondo wake.Pesa za wizi zina kiburi sana huu ni ushahidi tosha!
Watu kama hawa huwa hawafi mapema, kwa sababu wakifa kutakuwa hakuna watu wanaomwomba Mungu, mungu anaona ni vizuri wakiishi ili watu wasimsahau waendelee kumkumbuka. Na historia inaonesha kuwa wema hawana maisha lakini majitu kama Bokassa, Bush, na wezi wakubwa wa pesa wanaendelea kudunda tu!
Ni Chenge amechoshwa na ujinga ama ni sisi wananchi tumechoshwa na ufisadi?
Pls be specific!
Fisadi hata nyie ni mafisadi kwani kusema mtu kafa tena kujitia habari hizi mmezipata kutoka kwa chombo cha uhakika kinachowapatia habari.. Fanyeni kazi acheni malumbano ambayo hayawapatii hata sumni. NI wananchi au ni mwananchi wewe uliyechoshwa na neno fisadi maana kumtuhumu mtu ni tofauti.na ukweli. hivi majibu yakitoka huko kuwa sio fisadi utasema nini,au ndio nyie mnaodhani kina bongi marara tu ndio wana akili ya kupata hela? amka mshikaji
Unaniuliza nilikuwa ninataka nini kwenye mahojiano na Chenge!
Are you serious?
Maswali ya kuulizwa Chenge ni mengi sana na kama unamwakilisha then kaa tayari kuyajibu!
Naelewa madhumuni ya simu ya Mwanakijiji ni kutuonyesha kuwa Chenge ni mzima!
Kitu ambacho ofcourse kilishawekwa wazi!
Ukatili ni pale alipoanza kusema yuko ahera na sasa anakuja Tanzania!
Seriously?
Kwanza hizi rumours za Kunywa sumu ama kujipiga risasi zimetokea wapi?
Tunataka tusikie anasemaje kuhusu uhujumu wa uchumi wa taifa letu na uharamia wa kifisadi!
Well Said Mkuu!rushwa na ufisadi lazima vipigwe kwa kutomwangalia nyani usoni. Hata kama akina vijisenti watakuwa wahanga basi na wawe, lakini moto uliwashwa hauwezi kuzimwa! Hata kama baadhi ya wana JF ni mawakala wa hao watu, watashindwa kwa sababu pandora box ndio limefunguka hivyo. Waacheni mafisadi wajifie, tuanze upya kujenga nchi!
Naona kama unatapatapa tu!Fisadi hata nyie ni mafisadi kwani kusema mtu kafa tena kujitia habari hizi mmezipata kutoka kwa chombo cha uhakika kinachowapatia habari.. Fanyeni kazi acheni malumbano ambayo hayawapatii hata sumni. NI wananchi au ni mwananchi wewe uliyechoshwa na neno fisadi maana kumtuhumu mtu ni tofauti.na ukweli. hivi majibu yakitoka huko kuwa sio fisadi utasema nini,au ndio nyie mnaodhani kina bongi marara tu ndio wana akili ya kupata hela? amka mshikaji
(1)ndugu yangu nahindwa kukuelewa kabisa. Hivi sheria zetu hizi tunasomea wapi? (2)Angalau nimeona kuna baadhi ya watu hawana jazba lakini wewe ni mmoja wa wale wenye jazba ambao nafikiri mnadhani kila tuhuma inayomkabili mtu ni ya kweli. Kuna woga gani ambao mnaupata kuhusu suala hili? Mmeambiwa kuwa kazi inafanyiwa uchunguzi tena na wataalamu wanaoitwa serious fraud officers. Kwa nini hamtaki kusubiri matokeo? mmekazana mhujumu, fisadi ehe ehe, Kuna nini hapa? Tuliza ball ndugu yangu jazba hizi hazitufikishi mbali kabisa. Hivi unajua maana ya kero?(3) Ulitaka huyu bwana awajibu nini tena, kawahakikishia yu hai, lakini waandishi wanadiriki hata kusema hawakuridhika na majibu hayo sasa ulitaka awalambe mikone ndio waelewe?(4) ama mna ka agenda kengine semeni lakini kwa hili naomba niungane naye watu wengine wamekuwa ni kero.
Kama kawaida nitajibu the highlighted! This time nimeweka reference ya namba kabisa...So in reference to the point number;
1)Wananchi ndio tumeshindwa kuwaelewa kuwa huo uana sheria mkuu aliupata kwa kusomea fani ya sheria ama ya Ufisadi?Wananchi ndio hawaelewi hapo!
2)Jazba? Samahani kama nimeonyesha jazba lakini kwa upande wangu hata mimi nimeshtushwa na wewe kuona kuwa ni jambo la kawaida.."vijisenti" kinda thing pamoja na ufisadi in general!
3)Wengi walishtushwa kwani hawakutaka afe na ushahidi!
Ni furaha yetu kwamba yu hai kama ilivyo kwa Balali na wengineo!
Maisha yake yako justified kuwa under every scrutiny!
Alikuwa kiongozi wa serikali and so therefore he served the public hence fall in "public scrutiny category" Above all he's also liable to accountability..and i am so sorry that there's no way out!
4)Endelea kuungana naye na mimi naendelea kuungana na wananchi! Na KERO NI UFISADI!
sawa mwananchi unayejiita wananchi lakini atakufa cha mungu kama wewe na kama unasubiri afungwe ngoja majibu ya SFO ndio yatatoa mwelekeo. Jazba unayo nyie ndio wale mnaodhani maisha yenu yamekuwa hivyo kwa ajili ya watu fulani. Gangamala kaka au dada katika kujitafutia maisha maana vijisenti vya huyu unayemwita fisadi hutavipata na wala havitakuongezea tija. zaidi zaidi utaishia kupiga kelele za mfa maji.
Naona kama unatapatapa tu!
Na pia ni vigumu kukuelewa!
Karibu jf..Chenge ama relative?
Hayo niliyo ya highlight pengine nitajaribu!
1)Mimi sio fisadi na sijawahi kuitumia mali ya umma kwa maslahi yangu binafsi na wala kujizushia kifo ili kuchange subject!
2)Malumbano ambayo hayatupatii hata sumni ndio yanayoonyesha kuwa sisi sio mafisadi!
Hatuhitaji sumni kusema ukweli na kupigania haki sambamba na vita dhidi yenu mafisadi!
3)Majibu gani? ya vipimo vya ukimwi ama? Na ni nani atakayejibu!?Hapa sheria lazima zitachukua mkondo wake na nguvu ya umma inaweza kuwa the last option... so be ware!
4)Nimelala? Nashukuru kwa kuniamsha..na sasa naona mengi!
Ni nafuu kuliko ahera..coz unaweza kuwa zezeta!
Naona kama unatapatapa tu!
Na pia ni vigumu kukuelewa!
Karibu jf..Chenge ama relative?
Hayo niliyo ya highlight pengine nitajaribu!
1)Mimi sio fisadi na sijawahi kuitumia mali ya umma kwa maslahi yangu binafsi na wala kujizushia kifo ili kuchange subject!
2)Malumbano ambayo hayatupatii hata sumni ndio yanayoonyesha kuwa sisi sio mafisadi!
Hatuhitaji sumni kusema ukweli na kupigania haki sambamba na vita dhidi yenu mafisadi!
3)Majibu gani? ya vipimo vya ukimwi ama? Na ni nani atakayejibu!?Hapa sheria lazima zitachukua mkondo wake na nguvu ya umma inaweza kuwa the last option... so be ware!
4)Nimelala? Nashukuru kwa kuniamsha..na sasa naona mengi!
Ni nafuu kuliko ahera..coz unaweza kuwa zezeta!
Mtaumbuka nyie haya mambo yakiisha ndugu zangu maana kama majibu yakiwa ni tofauti na matarajio yako sijui utatuambia nini
ndio sijui weweni mwendesha mashtaka yupi au wakili yupi au judge gani ambaye unatoa hukumu hata kabla ya kesi kusikilizwa.
Mungu ni wa wote na hujua ukweli wa kila nafsi ndio maana wale mnaowaombea wafe hawafi maana ni mungu pekeee anawajua undani wao , Waombaji kama nyie pia mna madhambi yenu yaliyofichika hivyo mungu hasikilizi maombi ya wenye dhambi