The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

loh mbavu sina, siamini kama ni Andrew Chenge huyo, haaa!

Ningekuwa mshauri wa Chenge ningemuomba atulie, aandae utetezi wake au kukiri makosa. Inavyoonyesha sasa 'ameformat'.
 
Nani anayepeleka kesi mahakamami bila kuamini kuwa anayemtuhumu ni guilty?

Mona unaji-contradict hapa? Unajuaje kama wana madhambi? Wewe Mungu?

sasa unaona usivyo na akili, ni lini amefikishwa mahakamani? Unadhani dhambi ni ufisadi tu huo unaoudai bila hata ushahidi huna dini nini kasome maandiko maana hata kumsingizia mtu ni dhambi, kutamani mali ya mtu ni dhambi, kumsingizia mtu kafa ni dhambi. Kwani wewe ni mungu hata ujue kuwa haya yanayosemwa ni kweli? acha hizo mshikaji.

Tafuta maisha mshikaji hata akifa leo hutapata hata kijisenti chake kimoja na wala hali yako haitabadilika, Itabadilika pale tu utakapojituma nenda kwa Mzee Mengi akakufundishe namna ya kuwekeza ili dhana potofu ya umaskini ikuondoke
 
loh mbavu sina, siamini kama ni Andrew Chenge huyo, haaa!

Ningekuwa mshauri wa Chenge ningemuomba atulie, aandae utetezi wake au kukiri makosa. Inavyoonyesha sasa 'ameformat'.

Ama kweli watanzania wengine wa ajabu Keep on preaching siku ya siku ndio utajua ukweli. I dont think kama hata yeye anajua kuwa kuna kitu kama hiki kinaendelea katika mtandao. Waulize aliofanya nao kazi watakuambia lakini hata sisi hatuwezi kukaa kimya tukawangalia mkitoa hoja tusijibu kwani na sisi pia tunamjua kwa upande huo mzuri wa shiling wewe kaa na upande wako wa shilingi lakini usitufanye tusiandike kwa kisingizio kuwa atulie yeye atulie tu lakini wapambe tuko naye kama wewe ulivyo mpambe wa magazeti na tutaendelea kuchangia hoja mpaka kieleweke
 
Duh!
kweli hata mchawi anawatu wake wanaomkingia kifua. Sikutegemea kama kutakuwa na watu wajinsi hii(Beneficialy - wa mali za kifisadi)
 
"Hapa sheria lazima zitachukua mkondo wake na nguvu ya umma inaweza kuwa the last option... so be ware![/"

1)ndio mana nakuambia una jazba kafanye kazi acha kutupotosha hapa kama maisha yanakushinda usiweke visingizio(2) kuna theory moja inasema kuwa watu wengine(2) wakishindwa maisha au wakipata matatizo hawataki kuyakabili bali husingizia kua kama si fulani nisingekuwa hapa nilipo(3) Nadhani kama sikosei inaitwa "substitution theory"

1)"Kafanye kazi,maisha yanakushinda!" You dont know me na hapa una sound kama haus geli/boi wa Chenge! Hivi unajua ni watanzania wangapi ambao hawana kazi na hawajui their next meal itatoka wapi?

2)Kama nimeshindwa maisha poa tu! Ila bado ni mzima kama Chenge tu na ninashukuru Mungu kwa hilo!
However i mourn for all of those who have died for hunger,malnutriton and lack of medicine!
And i sympathise with fella countrymen and women who can not provide for their families or take their kids to school etc!
The obvious method of limiting self actualization by the leaders to its people in order to gurantee smooth governance similar to the colonialists hence ignorance and diseases,poverty and total lack of knowlede!
Yani kweli unathubutu hata kumtaja Mungu wakati ukimtetea Chenge na unajua wazi mabilioni aliyoyaita vijisenti yangeokoa maisha ya watanzania wangapi kama alikuwa hana kazi nayo?
Kama ni vijisenti si angewapa wenye shida ambao kodi za babu zao zilimsomesha?
Wewe na Mtu wako hamna ubinadamu kabisa na mkatubu kwa Mungu mnayemwabudu!
Na sijawahi kumlilia mtu yoyote shida!
Ninajisomesha elimu kama waliyopata hao viongozi lakini sijalelewa na serikali kama wao ambao wamesomeshwa na serikali kwa gharama za wananchi na kupewa dhamana ya kuendesha nchi na kulinda mali za Taifa letu na wananchi na badala yake kuifuja, kutudharau huku wengi wakijifia! I am for the next generation forget about me! I am on the side of making history so that our kids and the next generation will be proud of us!
Kwa ujumla wamelelewa na kudekezwa na wananchi!
Ni kodi zangu za kaka zangu, watanzania wenzangu, babu zetu etc zilizowasomesha mafisadi!
We kaa uko ndani mdanganyane and you dont know when time comes... whatcha gonna do?
3)Substitution ni wananchi watakao ifanya year 2010!Hapo ni baada ya accountability!
Justice is the only Answer!
 
Ama kweli watanzania wengine wa ajabu Keep on preaching siku ya siku ndio utajua ukweli. I dont think kama hata yeye anajua kuwa kuna kitu kama hiki kinaendelea katika mtandao. Waulize aliofanya nao kazi watakuambia lakini hata sisi hatuwezi kukaa kimya tukawangalia mkitoa hoja tusijibu kwani na sisi pia tunamjua kwa upande huo mzuri wa shiling wewe kaa na upande wako wa shilingi lakini usitufanye tusiandike kwa kisingizio kuwa atulie yeye atulie tu lakini wapambe tuko naye kama wewe ulivyo mpambe wa magazeti na tutaendelea kuchangia hoja mpaka kieleweke

Mkuu Matiksa kuna shida gani ? Mbona unazuia watu kusema ? Hatikumwambia aibe pesa zetu bwana na kuingia mikataba ya ajabu .Kila lenye mwanzo lina mwisho na mwisho wa Chenge upo niamini .Wanaweza kumlinda CCM lakini wajue wanakali moto.

Si kweli kwamba Chenge hajui JF ni moto .Hata JK anakuwa sembuse Chenge .Jamani acheni watu wasema .Chenge nadhani kapata wehu kidogo maana hajui kesho itakuwaje .Si kawaida mtu mkubwa kama yeye kusema anatoka Ahela anaenda Tanzania .Si akili ya kawaida hii .
 
sawa mwananchi unayejiita wananchi lakini atakufa cha mungu kama wewe na kama unasubiri afungwe ngoja majibu ya SFO ndio yatatoa mwelekeo. Jazba unayo nyie ndio wale mnaodhani maisha yenu yamekuwa hivyo kwa ajili ya watu fulani. Gangamala kaka au dada katika kujitafutia maisha maana vijisenti vya huyu unayemwita fisadi hutavipata na wala havitakuongezea tija. zaidi zaidi utaishia kupiga kelele za mfa maji.
Kweli hizi ni kelele za mfamaji?
Hii kufuru sasa!
 
Mkuu Matiksa kuna shida gani ? Mbona unazuia watu kusema ? Hatikumwambia aibe pesa zetu bwana na kuingia mikataba ya ajabu .Kila lenye mwanzo lina mwisho na mwisho wa Chenge upo niamini .Wanaweza kumlinda CCM lakini wajue wanakali moto.

Si kweli kwamba Chenge hajui JF ni moto .Hata JK anakuwa sembuse Chenge .Jamani acheni watu wasema .Chenge nadhani kapata wehu kidogo maana hajui kesho itakuwaje .Si kawaida mtu mkubwa kama yeye kusema anatoka Ahela anaenda Tanzania .Si akili ya kawaida hii .
Huku ni kulewa kwa madaraka,Mie nimeshtushwa na majibu ya kihuni ya Mhe. Chenge,Na nilikuwa namtafuta kumuuliza alikuwa katika Khali ganii wakati akijibu,nadhani alikuwa ameshapiga maji kidogo
 
Mkuu Matiksa kuna shida gani ? Mbona unazuia watu kusema ? Hatikumwambia aibe pesa zetu bwana na kuingia mikataba ya ajabu .Kila lenye mwanzo lina mwisho na mwisho wa Chenge upo niamini .Wanaweza kumlinda CCM lakini wajue wanakali moto.

Mh!
Lunyungu; Naona Matiksa naye yuko njiani akitokea ahera kurudi Tanzania, wako njia moja na mzee wa "Vijisenti"
 
bro Mushi, c ajabu unayebishana naye ndo KAMANDA mwenyewe, manake anavyotetea kwa jitihada zote, utafikiri anashea ktk vijisenti!
 
(1)sawa mwananchi unayejiita wananchi lakini atakufa cha mungu kama wewe na kama unasubiri afungwe ngoja majibu ya SFO ndio yatatoa mwelekeo. Jazba unayo (2)nyie ndio wale mnaodhani maisha yenu yamekuwa hivyo kwa ajili ya watu fulani. (3)Gangamala kaka au dada katika kujitafutia maisha maana vijisenti vya huyu unayemwita fisadi hutavipata na wala havitakuongezea tija. zaidi zaidi utaishia kupiga kelele za mfa maji.

1)Are you sure ni mimi mwenyewe ninayekerwa na ufisadi? So far ni Chenge na Mh rais pamoja na wewe mnaofikiri wananchi ni delusional!
2)Kuna waliopoteza maisha yao kwasababu ya ufisadi so be carefull with your statement!
Kuna ambao hawana dawa wala kazi wala chakula!Mimi naweza kujihesabu kuwa nimeshafikia self actualization kwenye maslow hierachy!
3)Kugangamala nafanya hivyo ila naona huruma napotembea mitaani na kuona taabu ambayo mtanzania anayo! Na kama ningekuwa na hivyo vijesenti nilivyowaibia..Ningeweka ubinadamu na kuwasadia kabla hawajafa!
Lack of empathy will hunt you,Chenge and the rest of fisadis!
Time will come and we will be victorious!
 
Ama kweli watanzania wengine wa ajabu Keep on preaching siku ya siku ndio utajua ukweli. I dont think kama hata yeye anajua kuwa kuna kitu kama hiki kinaendelea katika mtandao. Waulize aliofanya nao kazi watakuambia lakini hata sisi hatuwezi kukaa kimya tukawangalia mkitoa hoja tusijibu kwani na sisi pia tunamjua kwa upande huo mzuri wa shiling wewe kaa na upande wako wa shilingi lakini usitufanye tusiandike kwa kisingizio kuwa atulie yeye atulie tu lakini wapambe tuko naye kama wewe ulivyo mpambe wa magazeti na tutaendelea kuchangia hoja mpaka kieleweke

Matiksa, huzuiliwi kumtetea Chenge wala yeye mwenyewe hazuiliwi. Tena tungependa sana awe wazi kueleza ukweli wote namna alivyopata hivyo 'vijisenti' ikiwa ni pamoja na kampuni ya tangold ambayo CAG amesema si mali ya Serikali na wala hajawahi kukagua mahesabu yake. Chenge ndiye bossi wa kampuni hiyo na anadai ni mali ya Serikali sasa mahesabu huwa anawasilisha wapi?

Umenukuu maneno yangu kwamba Chenge 'atulie' sikumaanisha awe kimya, kutulia siyo kuwa kimya, umetafsiri vibaya. Nimesema atulie kwamba ASIROPOKE, kwa mfano amesema 'vijisenti' baada ya siku mbili akaomba msamaha. Katika mahojiano na Mzee mwanakijiji anaonyesha kila dalili za mtu asikuwa na utulivu rohoni, ubongoni na ulimini. Inakuweje mtu mzima kama Chenge asema anatoka ahera kwenda Tanzania?
 
Mkuu Matkisa,

wahenga walilonga "Kujifunza si kazi, kazi ni kuelewa".

Ninachokiona kwako ni "ujuzi" wa kujibu na wala si uelewa wa unachokijibu!
 
... Nimesema atulie kwamba ASIROPOKE, kwa mfano amesema 'vijisenti' baada ya siku mbili akaomba msamaha. Katika mahojiano na Mzee mwanakijiji anaonyesha kila dalili za mtu asikuwa na utulivu rohoni, ubongoni na ulimini.Inakuweje mtu mzima kama Chenge asema anatoka ahera kwenda Tanzania.

Kitu ambacho nimeki-note kwenye majibu ya Chenge siyo kwamba niyakibri, isipokuwa kule kwenye asili yake usukumani hasa maeneo anayotokea wanapenda mzaha sana! Lakini anakuwa hafikirii kuwa anazungumza na watu serious. Mfano. Cheyo wa UDP nitawajazeni "mapesa"...hanatofauti na "vijisenti"

Kwa upande wa matumizi ya lugha tumsamehe, Lakini Pesa zetu arudishe..hapo hakuna msamaha!
 
jamani mlioko US hebu tupatieni appearance na reputation ya wakili wa chenge ili tujaribu kuestmate anamlipa bei gani

Huo ni mkwala wa mbuzi tuu sasa waliogundua hizo pesa ni SFO hao wanasiasa wa bongo wanaingiaje?
Huyu wakili anaonekana ni pumba sasa Chenge yupo chini ya uchunguzi yeye anatafuta mchawi
Pumba tuu hizo au wenzangu mnaonaje kuna kipande cha cha sheria kwangu mimi ni jazba tuu
 
Kitu kimoja mnakisahau hapa..
Kwa upumbavu huo huo wa Chenge na wakili wake nina hakika mashtaka hayawezi kutokea.. Alichokifanya huyu lawyer ni kuwatahadhalisha viongozi wetu ule msemo wa YESU...
Mwenye kujiona msafi arushe jiwe la kwanza!.. hivyo Mama Sophia Simba tayari mavi debe hawezi kulipeleka swala hili mahakamani hata kama ushahidi wa toka Uingereza peke yake unatosha kumfungulia Chenge mashitaka.
Hizi ndio siasa za Bongo...Mtakuja nambia.....
 
Most probably watasubiri wananchi wasahau then the man atapeta kama kawa.. au kesi kama yakina Kiula which will take 10 years plus appeal etc.. end of the day mkulima loses.. Thats what it is.. watoto wa Chenge wataendelea kusoma Waterford na UK private schools.. yule wakike anamalizia masters sasa so its all good..and about the BILLIONS 4get it.
mkuu SIKIZA HAKUNA VITU HIVYO MAFYA WALIPETA SANA 1800 HADI DAADA YA VITA YA KWANZA SASA HIVI HAWAFANYI WATAKALO KAMA AKINA DON COREON WALIVYOKUWAWEKA POLITICIAN AND LAWYERS KENYE MIFUKO TZ MAMBO YAMEBADILIKA NYERERE TU ALIENJOY U- CHIF BUT NOT JK NA HAWA WENGINE HAKUNA TENE BISSNES AS USUALLY SI UTAONA MKUU.PIA TARATIBU KUHUSU BINTI BABA FISADI SI MTOTO,ACHANA NAYE SISI TU DEAL NA HUYU 50CENT.
 
(1)Kitu ambacho nimeki-note kwenye majibu ya Chenge siyo kwamba niyakibri, isipokuwa kule kwenye asili yake usukumani hasa maeneo anayotokea wanapenda mzaha sana! Lakini anakuwa hafikirii kuwa anazungumza na watu serious. Mfano. (2)Cheyo wa UDP nitawajazeni "mapesa"...hanatofauti na "vijisenti"

(3)Kwa upande wa matumizi ya lugha tumsamehe, Lakini Pesa zetu arudishe..hapo hakuna msamaha!

1)Jamaa yangu Kushoka alikuwa na bado ni mtu mkarimu sana!
Nawafahamu wasukuma kuwa watu wazuri sana! Na everyday nikienda kula ugali mtamu sana na mchuzi wa nyama!
Wasukuma ni wafanyakazi hodari na wanajua kulishika jembe barabara!
Nawazimia sana ndugu zangu wasukuma!
Swali hapa ni wale wanaomjua Chenge ama waandishi ambao wamekuwa kama wanyonge pale wanapokumbana na Chenge kwa sababu ya intimidation..Pamoja na msauti na cheo cha uanasheria Mkuu!aha mbichwa huoo!Kujisahau hukoo! Kibri na mambo yote ya kimadharau na kutojali na ukatili!
Aende akatubu!
2)Cheyo naye ali chemsha hapo!Nia aliyokuwa nayo ni nzuri..Ya ku punguza makali ya riba na kuwapa wananchi masharti nafuu ya mikopo ili waweze kustimulate economy!Na pia kuweza ku anzisha biashara ndogo ndogo pamoja na viwanda vidogo vidogo!
Tatizo ni lugha aliyoitumia ku inadi sera yake kwa kutambua kuwa asilimia kubwa ya wananchi hawajasoma na wako vijijini so lugha rahisi ni kuwaambia unawajaza mapesa!
Hii sio sawa na kauli ya Chenge kwani yeye alikuwa akijibu tuhuma na si vinginevyo!
Na wala haikuwa friendly so give us a break there!
Hata hivyo:
3)I partially agree with you on point number 3
 
1)Are you sure ni mimi mwenyewe ninayekerwa na ufisadi? So far ni Chenge na Mh rais pamoja na wewe mnaofikiri wananchi ni delusional!
2)Kuna waliopoteza maisha yao kwasababu ya ufisadi so be carefull with your statement!
Kuna ambao hawana dawa wala kazi wala chakula!Mimi naweza kujihesabu kuwa nimeshafikia self actualization kwenye maslow hierachy!
3)Kugangamala nafanya hivyo ila naona huruma napotembea mitaani na kuona taabu ambayo mtanzania anayo! Na kama ningekuwa na hivyo vijesenti nilivyowaibia..Ningeweka ubinadamu na kuwasadia kabla hawajafa!
Lack of empathy will hunt you,Chenge and the rest of fisadis!
Time will come and we will be victorious!
Kila taabu ya mtanzania ni kwa sababu ya ufisadi? come on give me a break. Mtu akieleza jambo positive kuhusu chenge anakua adui yako. Endelea basi kama maneno yako yatakufanya uboroshe maisha yako Nawaonea huruma Viongozi wa Afrika mna kazi. Kwaheri ndugu yangu kaa na chuki yako sisi wacha tufanye kazi ya kujikwamua kimaisha. Nenda kwa mengi akakufundishe namna ya kujisaidia hasa katika kuwekeza hata hako kadogo uliko nako. wenzako tulifaidi ushauri wake tuko mbali
 
Back
Top Bottom