The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

....Zeenam, hapa sina uhakika napo ndugu..... wewe haya; utapata wagomvi wengi kwa maneno kama haya mwenzangu... pls watch ya emotions, they ain't advisable artillery in a debate...

emotions? English is the global language of communication at the moment regardless of what people may wish, in Tanzania it has become mandatory among many corporations and business sectors? I'm merely re-instating the obvious.
 
Kila mtu ni msafi hadi hapo shutuma zake zitakapothibitishwa, Upo Ndio maana kumewekwa vyombo vya sheria, Sasa nyie mnakuwa wasoma mashtaka, mawakili, watoa hukumu hivi nchi itaenda kweli kama kila kidole kikinyoshwa basi mtu ana hatia?
 
Kila mtu ni msafi hadi hapo shutuma zake zitakapothibitishwa, Upo Ndio maana kumewekwa vyombo vya sheria, Sasa nyie mnakuwa wasoma mashtaka, mawakili, watoa hukumu hivi nchi itaenda kweli kama kila kidole kikinyoshwa basi mtu ana hatia?

mimi ningependa kujuwa kwamba katika habari zote kuhusu chenge, vingapi ni vya kweli na vingapi vimerushwa kwasababu ya wivu au hofu kutokana na uwezo wake? maana nadhani hivyo viwili vya mwisho vimechangia kupita kingine chote
 
Au nikubaliane na mtoa hoja mwingine kuwa mna matatizo binafsi na huyu mzee wa vijisente au tuhella. Au ndi yale kuwa huyu kabla ya kuingia siasa hakuwa mtu? mtu ni nani kuliko mwenzake? hii dharau ya kudharaulina waafrika ndio inayotuua, hatutakiani mema kazi yetu majungu tu fitina na kukusa mwelekeo wa kimaendeleo
 
Mwanakijiji naona umeiwekea na sound effect imekuwa kama vile ni preview na movie yenyewe iko njiani!Duh!Safi sana..previews ni muda mfupi tu hiyo inatosha..Tunaomba utuletee movie nzima baadae maana si amesema anatokea ahera kuja Tanzania?
Sasa kama kesha fika salama na maluweluwe ya ahera kumwisha..then tunaomba umalizie movie ili tupate kujua hatma ya mlolongo wote wa vijisenti!kwi kwi kwi!Movie naona litakuwa bomba kwa saana tu! kwi kwi kwi kwi
 
Mh hebu ngoja sasa nimepata kamwanya. Kweli Chenge hakuwa kwenye siasa, miaka yote alikuwa serekalini. Lakini alipoamua kuingia kwenye siasa tu na kuchaguliwa kuwa mbunge wa Bariadi, haikupita muda mh. rais kamteua kuwa waziri. Akaja akambadilisha tena kutoka afrika mashariki kwenda Miundo mbinu. Lakini pia muda mfupi tu akachaguliwa kuwa mjumbe wa NEC tena kwa kura lukuku, kisha kamati kuu, kisha maadili.... weweee umepanda kwenye siasa haraka kama uyoga? mmmmmh weweeeee ndio maana unataka kuwa katishio oooooooooooooMbio hizi naona ndizo zimewapa hofu hawa wanaokujadili kwa hasira hapa.
 
Binafsi nakupongeza kwa kidiriki kutofautiana. Umekuwa kichochezi kama moto wa Bunsen Burner kwenye maabara ya mawazo. Zidumu fikra zako huria. Kwa wale walio kuita dunce, huhitaji kuambiwa pole maana shukuru hukukatwa kichwa kama Baba wa Sayansi ya Utafiti G.Galilei alivyo nusurika, akahukumiwa kufungwa maisha, kwa mawazo yake ya kudiri diriki. Madai yake, jua halizunguki dunia. Ya kwako, chambueni hii logic yangu, na ukawa tayari kubadilika kama wakiweza kukuonyesha vinginevyo. Hata mitume hawakuongea habari hizo. Ni wana Sayansi ndio wanatumia hiyo lugha. Heshima mbele mkuu!

Hata hivyo nadhani umeleta fallacy isiyo kubali vipodozi ukaivalisha baibui ya logic. Umesemema alicho takiwa kufanya Chenge ni X, apate hela za kuwekeza ndani ya kipindi Y, zizae kiasi Z. Huo mlolongo umeudhihirisha kwa mahesabu ya kihasibu, (au yanayo fanana na ya kihasibu) kwa hiyo hushangai hayo matokeo Z. Lakini wajua fika jambo X halikuwa na uwezekano wa kutokea, na kwamba mjadala sio huo mlolongo bali ni proposition X. Pasipo ya X yanayofata yote ni nadharia.

Wajua kwamba ni vigumu kwa Chenge kuingia kwenye Lecture Circuits za ugenini kwa sababu utaalam wake ni irrelevant huko. Kama mtaalam wa sheria za Bongo itakuwa vigumu kupata demand nje. Kumbuka Chenge hana JD ya US, bali ni LLM, ambayo kwa kweli hata hawaihesabu kama ni shahada ya Sheria. Na kama akiongea kama Attorney General, huo ukuu ameupata miaka ya tisini. Kwa hiyo hata huo mlolongo wa logic za kihasibu, (au zizofanana na za kihasibu) nao unaanza kuingia doa katika argument Y, au muda wa hayo malimbikizo.

Taifa linajiuliza amezipata pata vipi, hatujasema hazipatikaniki. Ni fallacy kwa sabbu ni nadharia ambayo haijibu swali lakini umeileta kama logic inayo weza kujibu swali. Tunataka tuone daftari la kurekodi mali.

Ni kweli hakuwa na mzigo wa kisheria wa kuthibitisha manake sisi ndio tumemshuku, lakini nadhani alikuwa na mzigo wa Kisiasa na nadhani umeona alivyo utua bwana Nzokanhyilu, ewe mwenye mawazo ya kudiri, au niruhusu niseme ya kufikirika bila uwezekano wa kiutekelezaji. Aksante!

Sasa wewe hayo mambo unayoyajua wewe kuhusu uwezo wake Chenge kufundisha nje, ni wangapi wanajua (yaani Millions of tanzanians)?

Taifa linategemea SFO (ambao by the way wako chini ya Attorney General wa UK, unataka kuniambia Chenge hatakuwa na contact na AG wa commonwealth country?). Whether kuna evidence or not, mfano hii dili ina-implicate vigogo wote wakubwa, SFO wakitaka ku-push forward, UK wanaweza wakatishiwa vitega uchumi vyao hapo Tanzania. Ingawa majority wanafikiri UK wanatoa tu pesa kutusaidia, wakati wanachukua zaidi kutoka kwetu. Sasa imagine scenario, kwamba, 'the powers that be' hapo nyumbani waseme, listen, huu uchunguzi wa SFO hatutaki mtuingilie kwetu maana italeta matatizo a, b, c.....mkiendelea na vitega uchumi vyenu tunawapatia wachina.....
Waarabu mbona walitshia? Ingawa wanaendeleza zali, hii itazimwa tu.

Sasa ikishazimwa kimakubaliano, ina maana kusukwa story version tofauti kwa watanzania ni rahisi sana (namaaisha watanzania majority, sio mimi na wewe - we are nobodies). Na mtu kujiuzulu akae pembeni inapunguza makelele sana. Watu wameshamsahau Balali lol.

So, cha muhimu hata kama hiyo pesa imeingia, kama walitumia akili, hiyo trail inaweza ikawa imeenda shule.
 
Brazameni yuko wapi atupe commercial break.....
.... hata kidogo mimi hapa sikutegemea thread hii ingekuwa ndefu kiasi hiki..... duuh, naona Nzoka kazua jambo...... lol,...... brazameni naona kabadilika rangi leo na kuwa siasameni.......( 😉 hint)
 
Hujanielewa, nadhani umebimbelwa na manumbo na mabele. Nadhani FM alinielewa a few posts back.

Ninachosema, waTanzania wanaangalia SFO watafanya nini....Ball itarudi kwa serikali, regardless guilty or not......case closed
Ditto.......
Mahalu.......
Balali........
etc etc, the list goes on. Kama kweli kinawauma watanzania, wanafanya nini kujikwamua?


Acheni kufuru ndugu zangu Ditto kafa sasa unataka kesi yake ipelekwe ahera unapotoa hoja hama hii jamani ndugu zangu chonde chonde kesi ya dito haikuwa imefungwa akiwa hai. Ehe shule naoa muhimu hapa unapochangia tofautisha mazingira ndugu yangu. Mwacheni Ditto apumzike salama hakuomba kufa bali ni ahadi
 
.... hata kidogo mimi hapa sikutegemea thread hii ingekuwa ndefu kiasi hiki..... duuh, naona Nzoka kazua jambo...... lol,...... brazameni naona kabadilika rangi leo na kuwa siasameni.......( 😉 hint)

Ebanae kwenye siasa ndio kuna kila kitu....
 
Brazameni yuko wapi atupe commercial break.....
60.jpg
 
It is not sin to be 'comfortable in Tanzania' provided that you did not involve yourself in corrupt acitivities.

When you are public official and accused of corruption you have to defend yourself and in my opinion your privacy is no longer a priority, but so far we have not heard anything from Chenge but blah blah blah and more blahs


Unataka aseme nini kwa wakati huu ehe neno subirini matokeo haliko kwenye vocabulary yako? hebu mtafute mkono akueleze sheria inasemaje katika hili
 
With all due respect,
Sikubaliani nawe. Mandela is overrated.
Nina uhakika mimi kama natakakutanua akili yangu, nitajifunza zaidi kutoka kwa mtu kama Chenge (in terms of knowledge, weka pembeni 'ufisadi' anaohukumiwa bila 'proof') kuliko Mandela. Nitakachojifunza kwa Mandela ni wisdom tu ambayo nimeweza kupata kwa marehemu babu yangu!! Kukaa ndani miaka 27 messes up ur head. Hii inaweza kuwa argument nyingine. Its one thing giving someone respect for what they achieved in their sufferings.......Yaani hata mara mia ningemsikiliza Steve Biko....I like action. Thats me.

Unadiriki kusema Madiba OVERRATED?
Unamshabikia Denzel Washington au Steve Biko? Unaijua kweli filosofi ya Black Consciousness? Mbona sikukuona kwenye thread juu ya kifo cha Aime Cesaire, muasisi mwingine wa negritude? Utaweza kweli kumkana Martin Luther ati kwa sababu unamhusudu Malcolm X?

Nyie vijana wa sound bites nyie! Mnakoelekea kubaya huko!

Nakuwekea hapa chini machache aliyoyafanya Madiba (kutoka Wikipedia) pengine utaelimika.

At seven years of age, Rolihlahla Mandela became the first member of his family to attend a school, where he was given the name "Nelson," after the British admiral Horatio Nelson, by a Methodist teacher who found his native name difficult to pronounce.[citation needed]

His father died of tuberculosis when Rolihlahla was nine, and the Regent, Jongintaba, became his guardian. Mandela attended a Wesleyan mission school next door to the palace of the Regent. Following Thembu custom, he was initiated at age sixteen, and attended Clarkebury Boarding Institute. He completed his Junior Certificate in two years, instead of the usual three. Destined to inherit his father's position as a privy councillor, in 1937 Mandela moved to Healdtown, the Wesleyan college in Fort Beaufort which most Thembu royalty attended. Aged nineteen, he took an interest in boxing and running.[1]


After matriculating, he started to study for a B.A. at the Fort Hare University, where he met Oliver Tambo, and the two became lifelong friends and colleagues. He also became close friends with his kinsman, Kaiser ("K.D.") Matanzima who, however, as royal scion of the Thembu Right Hand House, was destined for the throne of Transkei, a role that later led him to embrace Bantustan policies which made him and Mandela political enemies.[1] At the end of Nelson's first year, he became involved in a boycott by the Students' Representative Council against the university policies, and was asked to leave Fort Hare.

Later, while imprisoned, Mandela studied for a Bachelor of Laws from the University of London External Programme (see below).

He later started work as an articled clerk at a law firm thanks to connections with his friend and mentor,realtor Walter Sisulu. While working there, he completed his B.A. degree at the University of South Africa via correspondence, after which he started with his law studies at the University of Witwatersrand,where he first befriended fellow students and future anti-apartheid political activists Joe Slovo and Ruth First. During this time Mandela lived in Alexandra township, north of Johannesburg.

In 1961, Mandela became the leader of the ANC's armed wing, Umkhonto we Sizwe (translated as Spear of the Nation, also abbreviated as MK), which he co-founded. He coordinated a sabotage campaign against military and government targets, and made plans for a possible guerrilla war if sabotage failed to end apartheid. A few decades later, MK did wage a guerrilla war against the regime, especially during the 1980s, in which many civilians were killed. Mandela also raised funds for MK abroad, and arranged for paramilitary training, visiting various African governments.

Mandela explains the move to embark on armed struggle as a last resort, when increasing repression and violence from the state convinced him that many years of non-violent protest against apartheid had achieved nothing and could not succeed.[6][2]

Mandela later admitted that the ANC, in its struggle against apartheid, also violated human rights, and has sharply criticised attempts by parts of his party to remove statements supporting this fact from the reports of the Truth and Reconciliation Commission.

In his statement from the dock at the opening of the defence case in the trial on 20 April 1964 at Pretoria Supreme Court, Mandela laid out the clarity of reasoning in the ANC's choice to use violence as a tactic. His statement revealed how the ANC had used peaceful means to resist apartheid for years until the Sharpeville Massacre. That event coupled with the referendum establishing the Republic of South Africa and the declaration of a state of emergency along with the banning of the ANC made it clear that their only choice was to resist through acts of sabotage. Doing otherwise would have been tantamount to unconditional surrender. Mandela went on to explain how they developed the Manifesto of Umkhonto we Sizwe on 16 December 1961 intent on exposing the failure of the National Party's policies after the economy would be threatened by foreigners' unwillingness to risk investing in the country.[11] He closed his statement with these words:

“ During my lifetime I have dedicated myself to the struggle of the African people. I have fought against white domination, and I have fought against black domination. I have cherished the ideal of a democratic and free society in which all persons live together in harmony and with equal opportunities. It is an ideal which I hope to live for and to achieve. But if needs be, it is an ideal for which I am prepared to die.[6] ”

Bram Fischer, Vernon Berrange, Harry Schwarz, Joel Joffe, Arthur Chaskalson and George Bizos were part of the defence team that represented the accused. Harold Hanson was brought in at the end of the case to plead mitigation. All except Rusty Bernstein were found guilty, but they escaped the gallows and were sentenced to life imprisonment on 12 June 1964. Charges included involvement in planning armed action, in particular four charges of sabotage, which Mandela admitted to, and a conspiracy to help other countries invade South Africa, which Mandela denied.

Alisema haya kwenye korti ya makaburu ambao kweli walikuwa na uwezo wa kumnyonga!

Whilst in prison Mandela undertook study with the University of London by correspondence through its External Programme and received the degree of Bachelor of Laws.


In March 1982 Mandela was transferred from Robben Island to Pollsmoor Prison, along with other senior ANC leaders Walter Sisulu, Andrew Mlangeni, Ahmed Kathrada and Raymond Mhlaba. It was speculated that this was to remove the influence of these senior leaders on the new generation of young black activists imprisoned on Robben Island, the so-called "Mandela University". However, National Party minister Kobie Coetsee says that the move was to enable discreet contact between them and the South African government.[14]

In February 1985 President P.W. Botha offered Mandela conditional release in return for renouncing armed struggle. Coetzee and other ministers had advised Botha against this, saying that Mandela would never commit his organisation to giving up the armed struggle in exchange for personal freedom. Mandela indeed spurned the offer, releasing a statement via his daughter Zindzi saying "What freedom am I being offered while the organisation of the people remains banned? Only free men can negotiate. A prisoner cannot enter into contracts."

Hakukaa tu jela akihesabu chawa. Alipasua mawe kama wafungwa wengine. Na muda wote huo yeye na wenzake hawakuacha kuendeleza mapambano dhidi ya utawala dhalimu wa makaburu.

Mandela became the oldest elected President of South Africa when he took office at the age of 77 in 1994. He decided not to stand for a second term as President, and instead retired in 1999, to be succeeded by Thabo Mbeki.

Tema mate chini, bwana mdogo!
 
Unataka aseme nini kwa wakati huu ehe neno subirini matokeo haliko kwenye vocabulary yako? hebu mtafute mkono akueleze sheria inasemaje katika hili

Mkono atatwambia nini Watanzania!? Fisadi Mkono si kajichotea bilioni nane za kifisadi pale BOT na CAG kishasema kwamba amekuwa overpay. Ametakiwa atoe breakdown ya masaa aliyofanya kazi kwa niaba ya BoT na kiasi anachocharge kwa saa mpaka leo anabwabwaja tu hana lake fisadi yule!
 
Unadiriki kusema Madiba OVERRATED?
Unamshabikia Denzel Washington au Steve Biko? Unaijua kweli filosofi ya Black Consciousness? Mbona sikukuona kwenye thread juu ya kifo cha Aime Cesaire, muasisi mwingine wa negritude? Utaweza kweli kumkana Martin Luther ati kwa sababu unamhusudu Malcolm X?

Nyie vijana wa sound bites nyie! Mnakoelekea kubaya huko!

Nakuwekea hapa chini machache aliyoyafanya Madiba (kutoka Wikipedia) pengine utaelimika.


Alisema haya kwenye korti ya makaburu ambao kweli walikuwa na uwezo wa kumnyonga!


Hakukaa tu jela akihesabu chawa. Alipasua mawe kama wafungwa wengine. Na muda wote huo yeye na wenzake hawakuacha kuendeleza mapambano dhidi ya utawala dhalimu wa makaburu.



Tema mate chini, bwana mdogo!

Sikia, tukubaliane tuwe tofauti, ila usining'ang'anize unachoamini wewe, wala kuniambia niteme mate chini na imani zako hizo. NIMEMSOA biography ya Steve Biko (I was 13), nimesoma Biography ya Mandela (iliniboa). Naheshimu Mandela kukaa miaka yote hiyo jela. Lakini pia katoka jela haelewi dunia inaenda vipi. Ndio huyo huyo hero wake hakuamini aendeshwe na rubani mweusi....hero wako huyo. Naheshimu sacrifice aliyopitia kukomboa South Africa.

Mandela hajaongoza SA, kaongozwa. He was symbolic with no clue of what was going on. Sio kwamba sio intelligent, ni kwamba, kutojua kwakwe na vijana wake, na ushamba wao wa power, ndio kimewafanya south africa wawe wachovu mpaka leo hii. Wanatia aibu kwa waafrika. Yeye na timu yake wamezidi kuonyesha kwamba bila ya mzungu waafrika hatuwezi kujiendeleza. Walivyochezewa huko kwao, ndio wanatuletea hao makaburu watuchezee kwetu.

On that note, ndio maana nasema, naweza jifunza zaidi kuhusu ulimwengu, nikikaa na Chenge kuliko nikikaa na Mandela (miaka 27 ndani sio mchezo hata uwe na akili gani). Thats my belief, its not disrespecting, that is what I believe. Kama wazungu wamekupa propaganda umwabudu Mandela hiyo juu yako!!

Sijaongelea MLK na Malcolm X.
 
Back
Top Bottom