Naona unakana 'elimu' yako baada ya joto kuzidi jikoni sio!
umeshindiwa kujibu alikuulia wangapi? aisee kweli huyu mzee amekuchokonoa
Naona unakana 'elimu' yako baada ya joto kuzidi jikoni sio!
hata siku moja. unlike you, I value my education, I value world issues. So far you've proved your ignorance and foolishness. Endelea na lugha yako yakitaifa sijuwi itakufikisha wapi na ulimwengu hu?
Kisomo unachosema ni hiki chako? KUna watu wamesoma na watoto wao wanasoma na so far you are not one of them.
umeshindiwa kujibu alikuulia wangapi? aisee kweli huyu mzee amekuchokonoa
Sikutaka kuingia humu lakini kwa hili imenibidi! Unamlinganisha Chenge na Madiba? Inaelekea wewe kipimo chako ni fedha, basi niambie Bill Gates,Steve Jobs, Ted Turner,Carlos Slim n.k. wana madigrii mangapi na kutoka wapi? Hata huyo unayemtetea atakuona punguani akisikia unamlinganisha na Madiba!
With all due respect, hiyo font of knowledge aliyoipata kama Attorney General Tanzania ni ipi ambayo itamfanya Mheshimiwa awe hot cake katika the lecture circuit? Mchango wake katika fani yake hapa DUNIANI ni upi?
Wakati mwingine naona JF walifanya makosa kutuvisha hivi vilemba vya ukoka vya SENIOR EXPERT MEMBER maana wengine kweli tunaanza kuamini kuwa kweli ni wakali wakati hamna kitu!
Mhh,
You can always get back to "internationa language" if you can!
umeshindiwa kujibu alikuulia wangapi? aisee kweli huyu mzee amekuchokonoa
Hapa amekosekena Fausta/Hollo....
kweli weekend imeanza.
kweli umeshindwa maana hamna kitu ulichoweza kujibu. Je chenge alikuwa civil servant tu? je alikuuliwa wangapi? Je umecheki na harvard alumni kama chenge alisoma pale au unachonga tu? Je hayo mabilioni unauhakika gani anayo?
Hapa nadahani huyo unayemjibu ndio wale ndugu zetu ambao walidhani sukuma ni ya kina fulani weweeeee karne ile imeisha hapa ni kuingia kwa kipaji sio jina la ukoo wala daftari takatifu la hao wanaojiita kina fulani
FM sikia mkuu.
Mimi niliyotoa ni logic kwamba hiyo pesa inaweza kutengenezeka...
So on that note, I am happy to be different unless people prove otherwise...
Haya yote ni maswali uliyoulizwa hapa!
So kama unahitaji siku zaidi kumaliza hii homework unaweza kuomba tu ukapewa!
Next.......
....Zeenam, hapa sina uhakika napo ndugu..... wewe haya; utapata wagomvi wengi kwa maneno kama haya mwenzangu... pls watch ya emotions, they ain't advisable artillery in a debate...hata siku moja. unlike you, I value my education, I value world issues. So far you've proved your ignorance and foolishness. Endelea na lugha yako yakitaifa sijuwi itakufikisha wapi na ulimwengu hu?
chenge kweli kakuweza. huna lakujibu maana huna ushahidi wowote zaidi ya longolongo, tumia daftari vema dada achana na upumbavu wa dunia
....Zeenam, hapa sina uhakika napo ndugu..... wewe haya; utapata wagomvi wengi kwa maneno kama haya mwenzangu... pls watch ya emotions, they ain't advisable artillery in a debate...
Utapoteza five points kama ukishindwa kufikia hii deadline!
..... kwa hiyo utatumia mbinu zote including elimu yako kum-squeeze mtu asiyeelimika/masikini hadi abadilike rangi na kuwa wa manjano na adondoke kama bua la mhindi lililo kavu?!........ Wakoloni ndivyo walivyotufanyia hivi, kwa maandishi yako nasi tuamue kufanyiziana sisi kwa sisi na siyo kuwafanyizia wao....duuuuh.... ng'wanone, ngoja tu nikuache na dhana yako ya ushing'weng'we/shirikale hiyo!! lol