The Other Half (Simulizi)

The Other Half (Simulizi)

Mkuu hizo episode unge edit kule mwanzo zina patikana page namba ngapi kila episode maana nimepekua post to post episode #2 sijaiona nimekuta tu ulio watag bila kuandia ipo page gani na nimesoma mwanzo wa episode 3# hamu ikaisha baada ya kujihisi nimeruka kipande kikubwa baada ya wale jamaa wenye makoti na sanduku kubakiza km5 kufika wanakoenda, sijajua ilikuaje huko walikofika ambapo episode 3 nimekutana na kisanga cha whitehouse na kua kuna rubani kaondoka na ramani hapo ndipo hamu imeniishia! Episode 2 ipo kurasa gani kabla ya episode 3 na 4
 
WAKUU EPISODE 10 IKO TAYARI... NAOMBA LEO MUISOME KWENYE TOVUTI..

**********************
mkuu mbona website haifunguki, au leo nimesahau domain name
Mbona inafunguka fresh tu mkuu..

Bofya www.**********************
EPISODE 13 IKO HEWANI TAYARI.... TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ILI KUISOMA...

kuisoma kwa urahisi, nenda juu kabisa pale kwenye "Trending" utaiona au shuka chini kabisa kwenye Categories kisha chagua "SHORT STORIES"...

a8ba3e49a7526201d4b8ebe889b3ca72.jpg
EPISODE 14 IKO HEWANI TAYARI.... TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ILI KUISOMA...

kuisoma kwa urahisi, nenda juu kabisa pale kwenye "Trending" utaiona au shuka chini kabisa kwenye Categories kisha chagua "SHORT STORIES"...

d3b0741a2402304b8564c5aa672b4034.jpg
EPISODE 15 IKO HEWANI TAYARI.... TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ILI KUISOMA...

kuisoma kwa urahisi, nenda juu kabisa pale kwenye "Trending" utaiona au shuka chini kabisa kwenye Categories kisha chagua "SHORT STORIES"...

e5f97d1fa58239518332e9d0c8812d03.jpg
EPISODE 16 IKO HEWANI TAYARI.... TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ILI KUISOMA...

kuisoma kwa urahisi, nenda juu kabisa pale kwenye "Trending" utaiona au shuka chini kabisa kwenye Categories kisha chagua "SHORT STORIES"...

f7400c23b1860c37f538e623d721ee50.jpg
EPISODE 17 IKO HEWANI TAYARI.... TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ILI KUISOMA...

kuisoma kwa urahisi, nenda juu kabisa pale kwenye "Trending" utaiona au shuka chini kabisa kwenye Categories kisha chagua "SHORT STORIES"...

f78683a8266d8abf2d9c06b0704370b6.jpg
Mkuu The bold unaonaje uka customize blog yako ukaweka kitufe cha kusearch?? Maana si tunaotumia simu (sijajua kwa kompyuta) ukienda pale chin kwene category afu short stor znakuja baadh ya story ambazo ushazisoma maybe na znafunguka automatic kila ukijaribu.

Mkuu ingekuepo search button ungeturahisishia sana
Shukrani sana mkuu kwa ushauri huu murua...

Yeah pia nimeliona hilo... Ukifungua Short stories inakuja stories zote lakini za zamani zinakuwa juu alafu zinajigungua automatic!

Nitaongea na web injia wetu aliangalie hili na tuweze kuwa na litufe cha "search"!

In the mean time, soma stories kupitia pale juu kabisa stories zinakuwa zinapita... Juu kabisa
Episode 18 Iko hewani...

Bofya kwenye category ya short stories... Au bofya pembeni upande wa juu kulia itakuletea option ya "SEARCH" kisha tafuta Episode uitakayo...

77188f38759e061fc320264dd0b06133.jpg
EPISODE 19 IKO HEWANI TAYARI.... TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ILI KUISOMA...

kuisoma kwa urahisi, nenda juu kabisa pale kwenye "Trending" utaiona au shuka chini kabisa kwenye Categories kisha chagua "SHORT STORIES"...

f07d395ad39ec56c6b4186a0b55844be.jpg
1b9a9f4142386cb81f0be1d549b2d08e.jpg

EPISODE 21 IKO HEWANI TAYARI.... TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ILI KUISOMA...

kuisoma kwa urahisi, nenda chini kabisa kwenye Categories kisha chagua "SHORT STORIES"...

AU

Tazama juu kabisa upande wa kuna kitufe cha (search) andika chaguo lako, mfano " The other half Episode 21"... Kisha search..

AU

Upande wa juu kushoto kuna vimistari vinne, bofya hapo utapata Mennu na kisha chagua "short stories".
e478aa02f384a89fc8b9a14b3e2fde51.jpg

EPISODE 22 IKO HEWANI TAYARI.... TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ILI KUISOMA...

kuisoma kwa urahisi, nenda chini kabisa kwenye Categories kisha chagua "SHORT STORIES"...

AU

Tazama juu kabisa upande wa kulia kuna kitufe cha (search) andika chaguo lako, mfano " The other half Episode 21"... Kisha search..

AU

Upande wa juu kushoto kuna vimistari vinne, bofya hapo utapata Mennu na kisha chagua "short stories".
ef5fbc3a9bf73c7b0daad75601efe05d.jpg

EPISODE 23 IKO HEWANI TAYARI.... TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ILI KUISOMA...

kuisoma kwa urahisi, nenda chini kabisa kwenye Categories kisha chagua "SHORT STORIES"...

Tazama juu kabisa upande wa kulia kuna kitufe cha (search) andika chaguo lako, mfano " The other half Episode 21"... Kisha search..

Upande wa juu kushoto kuna vimistari vinne, bofya hapo utapata Mennu na kisha chagua "short stories".
d668e01b7d04d601289c7acdc50ee202.jpg

EPISODE 24 IKO HEWANI TAYARI.... TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ILI KUISOMA...

kuisoma kwa urahisi, nenda chini kabisa kwenye Categories kisha chagua "SHORT STORIES"...

Tazama juu kabisa upande wa kulia kuna kitufe cha (search) andika chaguo lako, mfano " The other half Episode 21"... Kisha search..

Upande wa juu kushoto kuna vimistari vinne, bofya hapo utapata Mennu na kisha chagua "short stories".
cc9975f4e23e41b57e08625ae2f3c9e1.jpg

EPISODE 25 TAYARI IKO HEWANI KWENYE TOVUTI

Kumradhi kwa kuwakatisha uhondo wiki nzima...
158a46c67d843469fcc66903b5ed1c95.jpg

Episode 26 iko hewani tayari kwenye tovuti... **********************
009c3dd5707a89c353b3c1374c96d330.jpg

Episode 27 iko hewani kwenye tovuti... **********************
mkuu bold kapigwa bann mpaka october. so ukitaka kuona mambo yake fata blog yake mkuu.
Anaejua jina la website ya the bold anipm Tafadhali
Hii nianze kuweka kuanzia Episode ya ngapi?? Maana nyingine zipo kule kwenye tovuti...

Tuanzie wapi wakuu??
Habari chiefs, kwa Wapenzi wa Simulizi hii ya The Other Half, kuanzia leo jioni nitaweka muendelezo kama Episode 10 hivi.

Mnisamehe kwa ukimya, ratiba yangu imekuwa ngumu mno mno mno. Nikianza kuweka muendeleo leo jioni itakuwa imeanza rasmi kuendelea na mpaka tutafika mwisho.

Kumradhi kwa usumbufu uliojitokeza na asanteni kwa kusubiri.

Asante!

Habibu B. Anga alias "The bold"
To Infinity and Beyond
Mkuu hizo episode unge edit kule mwanzo zina patikana page namba ngapi kila episode maana nimepekua post to post episode #2 sijaiona nimekuta tu ulio watag bila kuandia ipo page gani na nimesoma mwanzo wa episode 3# hamu ikaisha baada ya kujihisi nimeruka kipande kikubwa baada ya wale jamaa wenye makoti na sanduku kubakiza km5 kufika wanakoenda, sijajua ilikuaje huko walikofika ambapo episode 3 nimekutana na kisanga cha whitehouse na kua kuna rubani kaondoka na ramani hapo ndipo hamu imeniishia! Episode 2 ipo kurasa gani kabla ya episode 3 na 4
Shida niliyo pata leo haisimuliki! Hiyo tovuti inaitwaje!? Maana hata link haifunguki hizi zote nilizo ambatanisha hapo sijaziona plus hio picha ndio jibu ninalo pata baada ya ku click hiyo link
Screenshot_2018-03-30-00-27-57.jpg
 
Maana huyu ndugu nimemtafuta fb nikam'baini na web/blog yake nimeikuta ila inaonekana isha futwa sijui kakumbwa na nini huyu muheshimiwa! Duka ama hizi story zake zinapatikana wapi
 
Wakuu aliye na link ya blog ya the bold atume bas tuaçces huko huko
 
Back
Top Bottom