The Other Half (Simulizi)

The Other Half (Simulizi)

Dah the bold unatisha mkuu nilikua na kufatilia kimya kimya leo umegusa kule kuna ku nikosha napenda saana mambo ya astronomy mie kazini nikiwa bored nataka muda uende naingia zangu youtube naangalia documentary za space, the edge of the universal mambo ya supermassive blackholes, and supanovas basi najikuta jioni hio hapo. tafuta siku utupe ya mambo ya ulimwengu.
Pamoja sana mkuu!

Will look into that
 
EPISODE 19 IKO HEWANI TAYARI.... TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ILI KUISOMA...

kuisoma kwa urahisi, nenda juu kabisa pale kwenye "Trending" utaiona au shuka chini kabisa kwenye Categories kisha chagua "SHORT STORIES"...

f07d395ad39ec56c6b4186a0b55844be.jpg
 
mzigo uko fresh mkuu ila leo jamaa zangu wenye manyoya sijawaona bhana nadhani mpka next episode
 
AM BACK.. daah nina mzigo mkubwa sana wa kupitia hii simulizi.. Asante sana genius wangu The Bold siku zote huwa uniangushi nilikuahidi mshahara wng wa kwanza lazma upate mgawo kidgo au vipi maana hii kazi sio ya kitoto.. be blessed Mh and your team🙂🙂
Hahahaaaaaa welcome back mkuu,ulipotea sana.
 
Back
Top Bottom