The Other Half (Simulizi)

The Other Half (Simulizi)

EPISODE 13 IKO HEWANI TAYARI.... TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ILI KUISOMA...


kuisoma kwa urahisi, nenda juu kabisa pale kwenye "Trending" utaiona au shuka chini kabisa kwenye Categories kisha chagua "SHORT STORIES"...


a8ba3e49a7526201d4b8ebe889b3ca72.jpg
 
Asante sana The Bold hii kitu in nzuri sana, inanifikirisha sana tena sana, japo hii ni hadithi tu ya kufikirika lakini nafsini mwangu ninaona haya mambo ni kama vile yapo katika dunia hii iliyojaa mambo mengi ya siri.

Ukizingatia kwamba kuna mambo mengi sana niliyokwisha kusoma katika istoria ya dunia hii, yaliyopita na mengine yanayotarajiwa kuja, pia nikisoma unabii katika maandiko ya biblia takatifu, ninaona kabisa kwamba lazima kuna jambo kubwa sana linaendelea katika siri.
 
EPISODE 14 IKO HEWANI TAYARI.... TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ILI KUISOMA...

kuisoma kwa urahisi, nenda juu kabisa pale kwenye "Trending" utaiona au shuka chini kabisa kwenye Categories kisha chagua "SHORT STORIES"...


d3b0741a2402304b8564c5aa672b4034.jpg
 
Back
Top Bottom