relato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 689
- 986
Mi nasubiri Hapa kaka...Asubuhi hii nitaweka episode..
Mi nasubiri Hapa kaka...Asubuhi hii nitaweka episode..
Sio siri mkuu picha za hii simulizi ziko bomba sanaEPISODE 17 IKO HEWANI TAYARI.... TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ILI KUISOMA...
kuisoma kwa urahisi, nenda juu kabisa pale kwenye "Trending" utaiona au shuka chini kabisa kwenye Categories kisha chagua "SHORT STORIES"...
![]()
Tayari iko hewani..Mi nasubiri Hapa kaka...
Pamoja san a mkuu..Mkuu nimeona dah simulizi inazidi kuwa tamu
Pamoja mkuuPamoja sana the bold
Nimekujibu tayari mkuu,Mkuu(The Bold) nimekutumia sms nikiomba msaada jinsi ya kuipata simulizi THE OTHER HALF episode 19.....vp mkuu ama haijatoka...!?
Vipi na muendelezo HISTORIA YA KANALI GHADAFI.....ama umefika mwisho...
Naamini hujawahi kutuangusha MKUU...
Hahahaha!! Shukrani sana chief..AM BACK.. daah nina mzigo mkubwa sana wa kupitia hii simulizi.. Asante sana genius wangu The Bold siku zote huwa uniangushi nilikuahidi mshahara wng wa kwanza lazma upate mgawo kidgo au vipi maana hii kazi sio ya kitoto.. be blessed Mh and your team🙂🙂
Tayari mkuu nimewekaThe bold.. vip mbna kimya tena...mzigo lini ?
Tayari mkuu nishaweka!Sasa mbona kimya sana mkuu wiki sasa imepita, kila nikichungulia hakuna kitu. Tunasubiria hiyo episode ya 19.