Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,019
Anaejua jina la website ya the bold anipm Tafadhali
Jamaa ameshafulia hata kule kwenye website hajatupia miezi kadhaa.Anaejua jina la website ya the bold anipm Tafadhali
Sijui kapatwa na niniJamaa ameshafulia hata kule kwenye website hajatupia miezi kadhaa.
Nikumbushe website yake mkuuAsante sana mkuu.
Vipi kule kunamwendelezo?Hii nianze kuweka kuanzia Episode ya ngapi?? Maana nyingine zipo kule kwenye tovuti...
Tuanzie wapi wakuu??
Huko kwenye website ndio kuna miezi kadhaa hujapost...Hii nianze kuweka kuanzia Episode ya ngapi?? Maana nyingine zipo kule kwenye tovuti...
Tuanzie wapi wakuu??
Huyo atakuwa The boldrapa!Hivi huyu ni the bold original au copy?
nadhani kwenye tovuti ipo mpaka ya 36,ili turudishe kumbukumbu vizuri anzia ya 33Hii nianze kuweka kuanzia Episode ya ngapi?? Maana nyingine zipo kule kwenye tovuti...
Tuanzie wapi wakuu??
nadhani kwenye tovuti ipo mpaka ya 36,ili turudishe kumbukumbu vizuri anzia ya 33Hii nianze kuweka kuanzia Episode ya ngapi?? Maana nyingine zipo kule kwenye tovuti...
Tuanzie wapi wakuu??
Mkuu habari za masiku dah kitambo sana Vipepeo Weusi ,the other half zote mkuu umetuchinjia baharini si huku wala kwenye web siteHii nianze kuweka kuanzia Episode ya ngapi?? Maana nyingine zipo kule kwenye tovuti...
Tuanzie wapi wakuu??
ipo tafuta kwenye short storiesMsaada mm nmeshindwa kupata kwenye web hyo story