The Other Half (Simulizi)

The Other Half (Simulizi)

EPISODE 16 IKO HEWANI TAYARI.... TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ILI KUISOMA...

kuisoma kwa urahisi, nenda juu kabisa pale kwenye "Trending" utaiona au shuka chini kabisa kwenye Categories kisha chagua "SHORT STORIES"...

f7400c23b1860c37f538e623d721ee50.jpg
Mkuu the bold samahani,naomba kueleweshwa jinzi ya kupata simuliz zakwo,npe ata link tu ntashukuru mkuu
 
EPISODE 17 IKO HEWANI TAYARI.... TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ILI KUISOMA...

kuisoma kwa urahisi, nenda juu kabisa pale kwenye "Trending" utaiona au shuka chini kabisa kwenye Categories kisha chagua "SHORT STORIES"...

f78683a8266d8abf2d9c06b0704370b6.jpg
mkuu hizi picha huwa unazitoa wapi daah zinanikumbusha movies flanflan za kutisha. ila nakupongeza kila picha inaendana na episode husika.
 
Mkuu The bold unaonaje uka customize blog yako ukaweka kitufe cha kusearch?? Maana si tunaotumia simu (sijajua kwa kompyuta) ukienda pale chin kwene category afu short stor znakuja baadh ya story ambazo ushazisoma maybe na znafunguka automatic kila ukijaribu.

Mkuu ingekuepo search button ungeturahisishia sana
 
Shukrani sana mkuu kwa ushauri huu murua...

Yeah pia nimeliona hilo... Ukifungua Short stories inakuja stories zote lakini za zamani zinakuwa juu alafu zinajigungua automatic!

Nitaongea na web injia wetu aliangalie hili na tuweze kuwa na litufe cha "search"!

In the mean time, soma stories kupitia pale juu kabisa stories zinakuwa zinapita... Juu kabisa
 
Back
Top Bottom