chrispaulas son
Member
- Sep 18, 2016
- 48
- 28
tunaiomba hyo tovuti jaman
Hometunaiomba hyo tovuti jaman
Shukuru basi hata hicho kidogo mzeeHata kwenye tovuti imeishia sehemu ya 19 tu hakuna mwendelezo!!
Usumbufu na tabia isiyofaa ni kuleta story kisha kutelekeza watu katikati!!
The Bold unakuwa kama Bongomuvi bhana!!!!!!!????
Usimlaumu hivyo, kwani yeye anashinda tu kwenye komputa? Hana familia, hatafutii siziki familia yake na yeye mwenyewe?Hata kwenye tovuti imeishia sehemu ya 19 tu hakuna mwendelezo!!
Usumbufu na tabia isiyofaa ni kuleta story kisha kutelekeza watu katikati!!
The Bold unakuwa kama Bongomuvi bhana!!!!!!!????
Watu wengine hovyo sana hivi wewe unamlipa sh ngapi kwa burudani anayotoa bure ashinde kwenye computer kwa sababu yako tunga ya kwakoHata kwenye tovuti imeishia sehemu ya 19 tu hakuna mwendelezo!!
Usumbufu na tabia isiyofaa ni kuleta story kisha kutelekeza watu katikati!!
The Bold unakuwa kama Bongomuvi bhana!!!!!!!????
Ngoja nikuletee ya kwangu! Kaa mkao wa kula, leo hii mpaka kufikia saa tisa usiku nitakuwa nishapakia hapa riwaya moja matata sana!! Itaitwa MTAMA KWA WATOTO.Watu wengine hovyo sana hivi wewe unamlipa sh ngapi kwa burudani anayotoa bure ashinde kwenye computer kwa sababu yako tunga ya kwako
We kweli bomu! huoni aibu kupata burudani wakati huo huo kupanua mawazo buree buree kabisa!Hata kwenye tovuti imeishia sehemu ya 19 tu hakuna mwendelezo!!
Usumbufu na tabia isiyofaa ni kuleta story kisha kutelekeza watu katikati!!
The Bold unakuwa kama Bongomuvi bhana!!!!!!!????

Au kapigwa ban.Mzeee... the bold.. ndio umetuhukumu wote nn ???
Ninachoamini ni kwamba mkuu Bold amekwazwa na hii issue ya mapimbi flani kuchukua story zake na kwenda kuzipublish kwenye vyombo vyao vya habari. Hivyo kabla ya mwendelezo wa story zake atakuwa anatafuta njia ya kulinda huu ubunifu wake husitumiwe na mapimbi flani kujitengenezea kipato pasipo muhusika(Bold) kujulishwa. tuvumilie kidogo wapendwa katika jf.
The bold
Mbona kimya Mr. Bold.
Mzeee... the bold.. ndio umetuhukumu wote nn ???
Mnisamehe bure wakuu... Last week nilikuwa busy kuangahika na wanasheria kushughulikia wanaoiba kazi zangu humu na kuchapa kwenye magazeti yao...Au kapigwa ban.
Nimekuelewa, naimani sasa hawataiba na itabidi wakulipe. Wizi ni mbaya aseeee.Mnisamehe bure wakuu... Last week nilikuwa busy kuangahika na wanasheria kushughulikia wanaoiba kazi zangu humu na kuchapa kwenye magazeti yao...
So sorry kwa ukimya... Am back now!!

Pole sana The BoldMnisamehe bure wakuu... Last week nilikuwa busy kuangahika na wanasheria kushughulikia wanaoiba kazi zangu humu na kuchapa kwenye magazeti yao...
So sorry kwa ukimya... Am back now!!