Hapana sijasema hivyoKwa hyo haina maana![]()
Hebu rejea post yako mekujibuMkuu naona kimya
Kuna kitu kimefanyika kwa sababu maalumKabla ya kufungua uzi naona picha ya mshana ila nimefungua siioni jamani![]()
![]()
![]()
Thanks but please usiniogope mimi sio mumianiMshana shikamoo mkuu,walah nakuheshimu sanaaa kwa elimu hii mm nmekuogopa zaid
Hapana! Even heavens knows mimi sio mchawiUyu mshana anaweza kuwa mchawi aisee si buree
Mmh hapana soma haya mambo kwa faida na si kuumiza wala kuharibuNaomba kuwa mwanafunzi wako wa uchawi kuna raia nataka kuwaroga mkuu msaada
Naomba hili nisilijibu hapa kuna keshoMshana kwa elimu dunia una kiwango gani??
vipi kuota ndoto unachezea moto ina maana gani hii?Half time
Mkuu nami swali langu niMshana Jr nafuatilia sana posts zako hususani ile ya Budha college, mengi unayoongelea inaonyesha yanatokana na experience either ya kazi au mapitio, naomba nikuulize yafuatayo 1.Nini imani yako ktk ukristo (umeokoka?)
2.Nini shughuli yako Kuu kwa sasa inayokufanya uishi mjini.
3.Unaonaje maandishi yako /elimu ukaiweka kwenye vitabu?
Kuna somo la machale takutag
Mkuu,hapo ndo unapo waaancha wengi njia pandaa,maana kwa jinsi uelewa wako wa haya mambo wengi wanashangaaa unaposema una mwamini mungu mmoja katika nafsi tatu.pamoja sana mkuu.Mungu mmoja katika utatu mtakatifu
Basi mshana tutakuwa tunafahamiana. maana hata mimi pia natokea lushoto Tanga.Mzaliwa wa Tanga. .Lushoto
UsinisahauKuna somo la machale takutag
Aiseee,hata mimi hizo zilinitesa sanaaaaaaFantasy dreams za utotoni ama ujanani zinakoma kuwa umri ukisonga
Kuna somo la machale takutag
Naam
Kwangu mimi kushoto balaa kulia barakaEti jicho la juu kushoto likicheza linaashiria nn mkuu au kulia pia juu