Nimekuelewa vizuri sana. Ngoja nijaze mifupa ya kitimoto in the house

Chumvi lazima iwe ya mawe au unazungumzia reaction ya acid na baseChumvi ya mawe inatumika na pande zote mbili nuruni na gizani
Mshana jr. Kuna watu watakupiga mawe ukiongea kuhusuMungu mmoja katika utatu mtakatifu
Inategemea uko mazingira gani na ni moto wa aina gani ... Maranyingi tafsiri ya ndoto ni kinyumevipi kuota ndoto unachezea moto ina maana gani hii?
Mmh ni ngumumkuu naomba unifundishe nipate hii elimu
Naishi katika toba na maombi kuna kuanguka hapa na pale lakini imani yangu ni thabitiMkuu nami swali langu ni![]()
![]()
Hutaweza asilani. . makafara ya biashara za kubet na kamari ni makubwa mno, unaweza kujaribu kufanya hivyo ukajikuta unaondoka wewe ama unapoteza zaidiMshana nataka unifundishe namna ya kuwaroga meridianbet wanirudishie pesa zangu pls. Mpaka nimelia kama mtoto.
Kuna michezo ya wanga lakini pia hata kulala chali huchangia tatizoMkuu ,kuna watu wanalalamika kuwa kuna nguvu zinawakaba usiku yaani mtu anajikuta amegandamizwa hata kugeuka hawezi na sauti haitoki ,je hizi nguvu zitokea wapi na ni zipi njia za kuziepuka?
Bangili ya Shaba inatumika kama kinga mkuuGamboshi ipo ni kijiji cha kawaida machoni pa wengi ila kwenye dunia ya giza ni habari nyingine
Vyeo vya wachawi vipo kutegemeana na makafara lakini kuna ranks zinazotambulishwa na bangili ya shaba mkononi
Sina waa katika hilo ninajua kwa hakika kwanini naamini katika yeye kwakuwa nimepita nilikopita nikaona na kushuhudiaMkuu,hapo ndo unapo waaancha wengi njia pandaa,maana kwa jinsi uelewa wako wa haya mambo wengi wanashangaaa unaposema una mwamini mungu mmoja katika nafsi tatu.pamoja sana mkuu.
Ooh vizuri karibudaah thikamoo kaka mshana jr, mimi mdogo wako wa uthangi
Asili ni Mlalo lakini makazi ni lushoto mjiniBasi mshana tutakuwa tunafahamiana. maana hata mimi pia natokea lushoto Tanga.
vipi unatokea Mlalo, mlola, bumbuli, mtae , au wapi??
Zile zimebeba uhai! Zina matumizi mawili kufisha ama kuumbaJe shahawa za mwanaume zinatumikaje kwenye kazi za kichawi?
Hutaweza kuionajamani mbona kwa njie kama kuna picha ya mshana ila kwa ndani haionekani??
Ndio ambayo haipotezi nguvu kwa haraka ni sawa na matumizi ya ndimu badala ya limaoChumvi lazima iwe ya mawe au unazungumzia reaction ya acid na base
Huwa wanazipataje?Zile zimebeba uhai! Zina matumizi mawili kufisha ama kuumba
Mwanga kwa sehemu kubwa hadhuru bali anakera na kuleta usumbufu...mchawi anadhuru na kuharibu.....Tofauti ya wanga na wachawi ni ipi
SitawahukumuMshana jr. Kuna watu watakupiga mawe ukiongea kuhusu