Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,928
- 828,569
Ni kweli lakini pia kuna wakati hutumika kama kuonyesha cheoBangili ya Shaba inatumika kama kinga mkuu
Ni kweli lakini pia kuna wakati hutumika kama kuonyesha cheoBangili ya Shaba inatumika kama kinga mkuu
Mkuu nimekupm please
NimekusomaMkuu nimekupm please
muhimu sana.
Sawa shemeji uchawi ni dhana ya dunia nzima na sio huku kwetu tu huko kwao kuna mpaka vyuo kabisaMh! We Mshana ni shemeji yangu kabisa kwa kuwa nimeoa kwa Washana, ila wa kule Gonja milimani, huko Lushoto mh! Anyway, issue yangu kubwa hapa ni hizo imani zenu za 'kichawi', kama ni kweli zipo hivyo, si tungekuwa mbali sana ki-teknolojia na kimaendeleo kwa ujumla na kuwaacha 'Wadhungu' mbali sana? Nihakikishie kuwa hii dhana ya uchawi au 'black magic' kama waitavyo Wazungu sio imani au mila na desturi zisizo na outputs zozote ambazo zaweza onekana kwa macho ya kawaida!
Hizo story za vito kwa sehemu kubwa ni changa la macho hebu ngoja tutakuja na mada yakeMshana Jr ni uchawi wa aina gani ambao wanatumia hao wazungu kuwashinda waafrika hususani wale wanaotafuta Vito vilivyofukiwa enzi za ukoloni
In addition to that, uchawi gani wanatumia hao wazungu kiasi kuwa tunaona ndege zao zikipaa angani na kuzipanda pia wakati 'nyungo' zetu hazionekani wala haziko accessible kuzitumia?Mshana Jr ni uchawi wa aina gani ambao wanatumia hao wazungu kuwashinda waafrika hususani wale wanaotafuta Vito vilivyofukiwa enzi za ukoloni
Hapa tusichanganye sayansi na nguvu za gizaIn addition to that, uchawi gani wanatumia hao wazungu kiasi kuwa tunaona ndege zao zikipaa angani na kuzipanda pia wakati 'nyungo' zetu hazionekani wala haziko accessible kuzitumia?
Hapana ila jaribu usiogopeMshana Jr kuna siku ulisema kabla ya kulala ukitafuna punje kadhaa za kitunguu saumu na ukaweka limao chini ya MTO kuwa vutafunuliwa vitu vingi vilivyofichika. Je; unaweza kuvi list.
Hakuna uchawi mbaya kama macho ya mtu, watu wa Tanga wana hii tech ya zongo ni uchawi unaokaa machoniMkuu ,mchawi anaweza kutumia chakula,kinywaji au kukudhuru?je,mchawi anaweza kutumia macho take kukudhuru?mfano wakati unakula au mama akiwa ananyonyesha mtoto.
Hapana siwezi. Kila kitu kina mifumo na taratibu zakeKwa mimi ninayeamini uchawi haupo,je unaweza kutafuta mchawi aniloge ili niamini uchawi upo?
Ni kweli,sitambui uwepo wa Mungu wala shetaniHapana siwezi. Kila kitu kina mifumo na taratibu zake
BTW mtu atakayeniambia haamini katika uchawi nikamuani ni yule tu asiyetambua uwepo wa Mungu ama miungu
OK nimekuelewaNi kweli,sitambui uwepo wa Mungu wala shetani
NdotoniKutafuna vitunguu saumu na kuweka ndimu chini ya mto wakati wa kulala hivyo vitu vilivyojificha ambavyo ulisema vitaonekana je ni kwa ndoto au live