The Interview: mshana Jr.

The Interview: mshana Jr.

Kuna watu Mungu amewaumba na nguvu za asili kabisa na hawalogeki?

Janaba lina impact gani kwa uchawi?
 
Naomba kuuliza maostadhi wanao kusomea dua kukunga'risha nyota ulichafuliwa na kukupa dawa ya kuoga kujisafisha na kuchoma naye ni mganga au uchaiwi au ni dua tu
 
Fantasy dreams za utotoni ama ujanani zinakoma kuwa umri ukisonga
Sawa Mkuu ila niliwahi kusoma humu humu JF kuwa binadamu tuna nguvu za ziada ambazo tunazitumia aidha tukiwa macho au tukiwa tumelala usiku.

Kuna ukweli kwenye hili?
 
Back
Top Bottom