Jodeo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 1,286
- 1,332
Ni nini kina m-favor mpaka aweze kuingia kupitia kona?Mmh ya duara mpaka kwenye paa?
Ni nini kina m-favor mpaka aweze kuingia kupitia kona?Mmh ya duara mpaka kwenye paa?
Naomba unitag na mimi huwa inanitokeaga sana hiyo kituKuna somo la machale takutag
Nimekuelewa vizuri sana. Ngoja nijaze mifupa ya kitimoto in the houseRejea story ya Bible pale Bwana Yesu alipowaamuru wale pepo wawaingie wale nguruwe
Moyo wa mtu ni kiza kinene sanaOk, nimeona majibu.
Sasa umesema unaogopa binadamu. Ni nini binadamu walikufanyia mpaka kupelekea wewe kuwaogopa.?
Rejea kitabu cha Ayubu kwenye Bible na yale aliyopitiaMshana tunafahamu kwamba Mwenyezi Mungu ameandaa maisha ya kila mtu hapa duniani na hatma yake. Eg: Utakuwa mtu flani, utamiliki hiki au kile n.k.
Sasa wachawi kwa mfano wanaposema wanakuharibia (kukufunga ) ili usifanikiwe , jambo hili laweza kudumu mpaka mwisho? Kama ndiyo, je? Maana yake ni kwamba wachawi au nguvu za Giza zinaweza kuzuia mpango wa Mungu kwa MTU?
Kama jibu ni hapana,je? Ni kwa muda gani vifungo hivi huweza kumwacha MTU?
Asante
Vigezo na mashartiNi nini kina m-favor mpaka aweze kuingia kupitia kona?
Hizi ni imani kulingana na tamaduniEti jicho la juu kushoto likicheza linaashiria nn mkuu au kulia pia juu
Msaidie tafadhali.Mmh ila hapa si chit chat
Naomba mwongozoMsaidie tafadhali.
Lakini huyu Mzee Ayubu majaribu yake yalikubaliwa na Mungu! Yaani alimruhusu Shetani akamjaribu Ayubu.Rejea kitabu cha Ayubu kwenye Bible na yale aliyopitia
Kwa hyo haina maanaHizi ni imani kulingana na tamaduni
Kule China kumuona bundi asubuhi upenuni ni baraka huku Afrika ni nuksi

Mkuu naona kimyaDU ASANTE
