Asante sana japo umri umesongaAsante mshana jr
Nakupongeza kwa kutuonesha picha yako halisi.
Wengi tulidhani kwa mambo unayoyajua basi utakuwa mzee au mbabu fulani.
Kumbe ndo kwanza unatafuta mchumba.
Safi sana mheshimiwa
Mshana Jr
Kwa kututhamini
Naposti
Kwa kutumia utaalam wake Maranyingi huingia kinyumenyume uchi kupitia pembe ya chumbaMchawi anaingije ndani kwangu usiku huku nikiwa nimejifungia milango na madirisha?
Hapana sina hirizi hata mojaKabla ya yote mkuu vipi una hirizi la kujikinga?maana hayo makombora yatakayokuja hata yale ya korea kaskazini hayaoni
Hapana wengine ni kuiga urembo ama fasheniMkuu mshana Jr swali kwako yeyote anaye vaa bangili la shaba ni mlozii??
Nataka kufahamu meditation zaidi na jinsi itakanisaidia kutibu maradhi mbalimbali mwilini mwangu.Ndio ni Mimi halisi.. Naingia meditation nitarejea
Haya mambo kwa sehemu ni imani na mtazamo na mitazamo huleta uhalisia....nafsiroho zetu ndio engine ya maisha yetuMshana
1.Kuna uhusiano gani kati ya maisha ya mtu na nyota?
2.mtu anaweza kumuibia mwazake nyota?
3.Zipi ni dalili au njia za kujua kama nyota yako ipo au vibaka walisha ikwapua?
4.Je nyota iliyo ibwa yaweza kurudishwa kwa mhusika? how?
Kila kitu kina ukomo wake hata Bomu la nyuklia kutokana na uasili waleMipaka yake ni ip? Ni sehemu gani uchawi au ulozi unafikia kikomo cha kushindwa kufanya kazi? Kwanini inakuwa hivyo. Funguka vya kutosha
Ndio kuna uchawi wa kurithi na wa kusomeaMara nyingi tunaskia uchawi ulozi na uganga watu wanarithishwa. Je mtu anaweza kusomea akawa kabisa mbobezi wa hayo mambo?
Ni ngumu kwakuwa mchawi hana labelIpi njia rahisi ya kumtambua mchawi
Huko walikoukataza ndio asili yake..imani yangu kwenye uchawi imejikita hapo ila siuamini kama kinga ama solution ya changamoto zangu....siamini katika waganga wa kienyeji naamini uchawi na ushirikina vipoKwenye Bible na Quruan uchawi umepigwa vita. Na wewe inaonekana unauamini. Je, imani na msimamo wako ni upi?
Kipi kinachowafanya wachawi wasiutumie uchawi kwa faida ya wengi? Shughuli zao nyingi ni za siri na za kafara za kuteketeza?Huko walikoukataza ndio asili yake..imani yangu kwenye uchawi imejikita hapo ila siuamini kama kinga ama solution ya changamoto zangu....siamini katika waganga wa kienyeji naamini uchawi na ushirikina vipo
Sikuoni Ukomsalimia Salimia Katika Post ZakoHahah ninao ndugu na marafiki wengi sana na ninaye best yangu anaitwa Angel Nylon
Asante kwa jibu zuri Mkuu.Mungu mmoja katika utatu mtakatifu