TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

angalia channel ten ndo wamehaidiwa kupewa M200 watakuwa wamefanya marekebisho mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Milioni 200 ela ndogo sana kufanya mabadiliko..juzi Kati chuoni udsm DEPARTMENT tulipewa mil 100 kufanya marekebisho na manunuzi ya vfaa vya mAzoezi Kama Kama kamera,,mic, na stand..hela haikutosha Sana Sana wamenunua kamera 5 ..na Bado uhaba Ni uleule..
Kwhyo m 200 too little to ensure Chanel ten ama TBC zinakwa za kisasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aisee inaeleke wamenunua kamera za maana kama
Pentax 645Z
 
Hii TV hata mwaka unaisha sijaangalia chochote maana nadhani ni TV ya chama na hata kama Mimi ni mwanachama wa chama husika haina maana kuwa hitaji langu kubwa ni kuona mambo ya ki chamachama! Kaeni kama kamati fanyieni kazi mawazo ya watizamaji vinginevyo mtakua wa kuwafurahisha vingozi mnaochukua picha zao wakijaribu Ku view waliyofanya huko mtaani kwenye ziara, mna boa mna boa as if kazi hamjasomea kachukuliwa tu na mjomba ' kusoma si unajua tena kiswahili' njoo upige porojo TV na redio zetu zipo, pia cha ajabu kwa miaka hii MTU hawezi kutofautisha R na L unamweka kutangaza TV ya Taifa shame on you, kuahirisha hawezi kutamka unasikia kuhairisha inatia kinyaa cha kutapisha! Mbona zamani hatukusikia uchafu huo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo Tbc mpya hii?? Hivi kweli Mwenyekiti wa kambi rasmi ya upinzani bungeni kupewa dhamana mahakama kuu baada ya kukaa gerezani siku 104 kwenu siyo habari???
Mnatuhubiria uzalendo akati ninyi wabaguzi wa hali ya juu??? Hivi hamjui kwamba mnalipwa mishahara kwa kodi zetu wananchi??? Mmejinenepea tu kama marobota ya mitumba nyambafu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TBC
TBC ndio nini? Weka picha tafadhali.
 
Yaani Kama tbc haiwezi kuonyesha bunge live Kama ilivyokuwa awali sihitaji kuwaunga mkono kwalolote maana tbc inatakiwa irushe matangazo kwawananchi hususani bunge kwasababu inaendeshwa kwakodi zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...
kipindi cha bango mkirekebishe;
- teganisha vifo na taarifa nyingine
-ondoeni ala inayosikika kwa sasa
-ujumbe usomwe kwa sauti
....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…