TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

Huwezi kuacha kumlaumu rais kwenye failure ya Tbc kwani ni kweli ndie anaechangia kufanya mambo yawe mabaya zaidi, hata ukimuweka kiongozi gani kuisimamia Tbc haitaweza kujiboresha chini ya rais huyu kwa sababu yeye hataki kuona watu wengine wanasifiwa isipokuwa yeye tu na ccm yake, sasa haya makosa makubwa ya rais kwani anachokitaka ndicho kinachoidhoofisha tbc, Anthony Dialo alijaribu kuwapa Uhuru na Nafasi kubwa wapinzani kwenye kituo chake cha StarTV muulize alichofanyiwa na ccm
 
Asante mkuu. Angalau wewe umetoa ushauri elekezi kuanzia namba 3 na kuendelea. Hiki ndicho nilichokilenga. Tutaje ideas kama hivyo. Asante.
Sasa wewe unachagua aina ya ushauri ?, namba 1 & 2 unaona sio ushauri ?, tangu lini mgonjwa aka chagua/bagua dawa ?, au tangu lini Serious Jobless aka chagua/bagua kazi ?
 
Ili TBC ibadilike lazima watangazaji wake waache ushamba na kulamba miguu wanasiasa wa chama tawala.
 
Tuachane na kwenye siasa kidogo. Hayo yameshasikika vya kutosha sasa naamini yatafanyiwa kazi.

Hakuna mawazo mbadala nje ya hayo ya kisiasa ambayo TBC wanatakiwa kuyafanyia kazi?

Jina nalo ni tatizo? Unashauri iitwe jina gani?

Karibu.
Nilikuwa na miaka kadhaa sijaiangalia channel ya TBC, hivi majuzi baada ya kuwa nimefunga Dish la starTimes nilishangaa kukuta bado ile sehemu ya taarifa ya habri za biashara ukitazama matamshi ya mtangazaji yanapishana na sauti inayotoka kwenye TV, hata hili nalo limewashinda kulirekebisha !!, are you serious na soko ?
 
Umenisaidia, kumbe Tbc hawawezi kusikia ushauri wa Nje kwa sababu wamefungwa na minyororo ya utumwa wa ccm sio ?, kwa maan ahiyo wanatakiwa kufanyiwa maombi ili kuondoka na hilo pepo au jinamizi ccm ili wawekwe huru, Mhubiri gani atafaa hapa ?
 
Jamani muwe na huruma hata kidogo, huyo Grace sio mzee kiasi mnataka afukuzwe kazi, (wanaomfahamu vizuri watuambie umri wake) huyo ni unene tu umemzidia mpaka anashindwa kuongea haraka haraka. chukulia kama ni dada yako utafurahi akifukuzwa kazi ?, tatizo ni Tbc kujipachika Ukada wa ccm, wapo watangazaji DW, Aljazeera, BBC na CNN ni watu wazima lakini wako fit sana,
 
Hahaaaaa sio afukuzwe kazi hata akiwa back stage hamna tatizo, kanenepa sana ka kiboko had Ana shindwa kupumua vzuri aanze mazoezi fani nyingine zinahtaji watu presentable bwana. Sasa TBC sijui wanatumia kigezo cha ukada kuajiriwa.
 
Hahaaaaa sio afukuzwe kazi hata akiwa back stage hamna tatizo, kanenepa sana ka kiboko had Ana shindwa kupumua vzuri aanze mazoezi fani nyingine zinahtaji watu presentable bwana. Sasa TBC sijui wanatumia kigezo cha ukada kuajiriwa.
Kumbuka nae alikuwa kipotable wakati wanaanza kazi na yule Ganzel, tatizo wanalipwa mahela bila kutoka jasho.
 
Usitulettee mambo ya Lumumba hapa, Jiography ya Nchi hii unajifunza shuleni au maktaba, au unaenda Live mwenyewe
 
Hahaaaaa sio afukuzwe kazi hata akiwa back stage hamna tatizo, kanenepa sana ka kiboko had Ana shindwa kupumua vzuri aanze mazoezi fani nyingine zinahtaji watu presentable bwana. Sasa TBC sijui wanatumia kigezo cha ukada kuajiriwa.
I agree with you kutafta fursa ila naye ndo kanywea sana makeke yote kwishney ka kanyweshea mvua uchangamfu wote kwishney, sio yeye tu Watangazaji wote wako hivo sasa sijui ndo mitambo inawafubaisha hata sielewi.
Mimi nilidhani nimeona vibaya, siku moja nikaona mtu kama Sam Mahela, kumbe ni kweli yuko tbc ?, Nafikiri wote mnaona jinsi alivyofubaa, sijui kuna nini pale ?!, yaweza kuwa Spirit ya CCm, nani alitegemea atapoa hivyo Sam tuliyemjua wa ITV
 
Sam yuko TBC siku hizi naye kafubaa uweledi wake umekuwa zero had kuvaa. Nadhani TBC Wana mazoea ya kufanya mambo ya business as usual. Waajiri wataalamu na sio kufanya mambo bora yaende huku wakisubiria mshahara wa bure. Na kubaki na ubunifu zero wa kila mambo
Mimi nilidhani nimeona vibaya, siku moja nikaona mtu kama Sam Mahela, kumbe ni kweli yuko tbc ?, Nafikiri wote mnaona jinsi alivyofubaa, sijui kuna nini pale ?!, yaweza kuwa Spirit ya CCm, nani alitegemea atapoa hivyo Sam tuliyemjua wa ITV
 
NAUNGA MKONO
 
FANYA HAYA

Mosi, Fufua TBC 2 Kisha iwe SIYO YA KULIPI!! na Iwe na Maudhui Kma ya Clouds, EATV, ETV & DIRA TV na Ikiwezekana Iwe Ya Kisasa Zaidi!! Hamjifunzi kwa ZBC 2 ???

Nunueni HD Camera muwape Ma_reporters wenu!! Ni Aibu Kwa TBC Tena ni Aibu!! Hta KBC Wanawashinda!! Sawaaa naweza kwenda mbali labda kuwafananisha nao Hata Ma Blogger pia Wanawashinda Kwa Quality Ya Picha ??

Animation Zenu Bado Low Quality Kabisa Tna Kabisa!! Hamna ma Creator wakuzibadilisha zikawa na Muonekano mzuri?? Mnatia Aibu tna Mnatia Aibu
 
MAVI KWELI WEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…