Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,502
- 4,408
kwa tunaomfahamu Nape na tuliyopata kuyajua machache juu yake hatushangazwi kusikia anayosema ila tunachoshangazwa ni kuchelewa kwako kuzungumzia unafiki wake watanzania wakaujua.
Nape ana chuki na tukio walilofanya lakini kabla lengo halijatimia wakajulikana ila nikiri kusema kwamba ingekuwa nchi zenye sheria kweli kweli basi pengine Nape leo angekuwa simulizi.
Nape kwa kinywa chake mara nyingi amenukuliwa akipongeza na kusifia uongozi wa JPM kwa uthubutu na usimamiaji mzuri wa pesa za serikali, leo kawa mnafiki wa kujiabisha mwenyewe.
Nape ni mtu anayeishi kinafiki na ndio sababu ya kuonekana kituko uongozi uliopita na ataendelea kuonekana hivyo hata kwa wajukuu zake ila sisi tunamuombea kwa sababu hajui atendalo wala afanyalo