Tatizo la Nape ni ubinafsi, chuki na sononeko. Kiongozi wa namna hii hatufai hata kidogo

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,502
4,408
kwa tunaomfahamu Nape na tuliyopata kuyajua machache juu yake hatushangazwi kusikia anayosema ila tunachoshangazwa ni kuchelewa kwako kuzungumzia unafiki wake watanzania wakaujua.

Nape ana chuki na tukio walilofanya lakini kabla lengo halijatimia wakajulikana ila nikiri kusema kwamba ingekuwa nchi zenye sheria kweli kweli basi pengine Nape leo angekuwa simulizi.

Nape kwa kinywa chake mara nyingi amenukuliwa akipongeza na kusifia uongozi wa JPM kwa uthubutu na usimamiaji mzuri wa pesa za serikali, leo kawa mnafiki wa kujiabisha mwenyewe.

Nape ni mtu anayeishi kinafiki na ndio sababu ya kuonekana kituko uongozi uliopita na ataendelea kuonekana hivyo hata kwa wajukuu zake ila sisi tunamuombea kwa sababu hajui atendalo wala afanyalo
 
tatizo ni wanamjadili mtoa hoja badala ya kujadili hoja,
Mkuu shida kubwa ya NAPE, amesahau kuwa Alienda ikulu akaomba ladhi kabisa, Tena kwa kuita waandishi wa habari, Sasa Leo anasema et hela ilienda wapi, kumbe alikuwa anahujum chin kwa chini?? Mzee wa watu alimsamehe kabisa, Leo anakuja Tena na sarakasi zake, nape, membe, na makamba pamoja na yule kule bandalin ya kichn kunasik watawaeleza tu watz nn kilitokea, as long as tz ipo,
 
Hoja ya unafiki, mnafiki ni mnafiki. Nitajuaje kama najadili unafiki wake au uhalisia?
Kuna tatizo gani mikopo hiyo ikichunguzwa ?!. Hii katiba yetu kumfanya Rais wa nchi kuwa mungumutu ni mbaya sana.

Tunaowachaguwa ni wanaadamu waliojaa makandokando. Taasisi zetu zinatakiwa kuwa juu ya vyeo hivi hasa u Rais
 
Jiw alijionaga Mungu mtu Sana,yaani anasema kabisa hadharani eti hivi nikiondoka miradi hii itaendelezwa na Nani sijui,yaani alikua anajionaga Ni Savior wetu Aisee.Ukimpinga tu unapigwa uhujumu uchumi fasta tu,waswahili wakamjulia dawa yake Ni kumpaka mafuta kwa mgongo wa Chupa tu ili ajisikie yeye ndiye 'mungu ndogo'.

Sasa hivi ni Muda wa kumsema vzr Sana.
 
tatizo ni wanamjadili mtoa hoja badala ya kujadili hoja,
Ameguswa mungu wao majuha akina Kingai division zero na wafuasi wao Maamuma kwa mujibu wa utafiti huru wa shirika la Twaweza kwahiyo lazima wakasirike kweri kweriii.
 
kwa tunaomfahamu Nape na tuliyopata kuyajua machache juu yake hatushangazwi kusikia anayosema ila tunachoshangazwa ni kuchelewa kwako kuzungumzia unafiki wake watanzania wakaujua.

Nape ana chuki na tukio walilofanya lakini kabla lengo halijatimia wakajulikana ila nikiri kusema kwamba ingekuwa nchi zenye sheria kweli kweli basi pengine Nape leo angekuwa simulizi.

Nape kwa kinywa chake mara nyingi amenukuliwa akipongeza na kusifia uongozi wa JPM kwa uthubutu na usimamiaji mzuri wa pesa za serikali, leo kawa mnafiki wa kujiabisha mwenyewe.

Nape ni mtu anayeishi kinafiki na ndio sababu ya kuonekana kituko uongozi uliopita na ataendelea kuonekana hivyo hata kwa wajukuu zake ila sisi tunamuombea kwa sababu hajui atendalo wala afanyalo
Usimshambulie mtu,shambulia hoja kwa kuweka hoja juu yake

Hapa ndipo nyie WASUKUMA mnapoenekana mazuzu
 
kwa tunaomfahamu Nape na tuliyopata kuyajua machache juu yake hatushangazwi kusikia anayosema ila tunachoshangazwa ni kuchelewa kwako kuzungumzia unafiki wake watanzania wakaujua.

Nape ana chuki na tukio walilofanya lakini kabla lengo halijatimia wakajulikana ila nikiri kusema kwamba ingekuwa nchi zenye sheria kweli kweli basi pengine Nape leo angekuwa simulizi.

Nape kwa kinywa chake mara nyingi amenukuliwa akipongeza na kusifia uongozi wa JPM kwa uthubutu na usimamiaji mzuri wa pesa za serikali, leo kawa mnafiki wa kujiabisha mwenyewe.

Nape ni mtu anayeishi kinafiki na ndio sababu ya kuonekana kituko uongozi uliopita na ataendelea kuonekana hivyo hata kwa wajukuu zake ila sisi tunamuombea kwa sababu hajui atendalo wala afanyalo
Km hizo hela zilitumika vizuri wasiwasi wako unatoka wapi. Nini unataka kisijulikane.
 
Turudi kwenye hoja fedha mlizokopa zimetumikaje je tunaweza kukagua au hamtaki
 
Back
Top Bottom