Tatizo la Nape ni ubinafsi, chuki na sononeko. Kiongozi wa namna hii hatufai hata kidogo

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
26,095
2,000
Kuibua hoja ya kutaka kulipekua deni letu la taifa imekuwa nongwa ?
 

ILLUMINATI RUMI

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
209
250
Huyu Nape si ndo walitufanya sisi wa CCM tuwe tunaficha mpaka magwanda yetu kukwepa kutukanwa.
Leo anahoji?
Hiyo Hali ya kuficha magwanda ya kijani itajirudia tu,Kwa hawa kina January makamba na Nape,hawana ushawishi Tena kuipigia ccm kura.kwanza ni wanafiki,matapeli,na haeleweki wanasimamia kipi,wanajali matumbo Yao tu,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom