The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,394
- 12,978
Alikwenda Ikulu kuomba msamaha kwa mambo mengine ambayo hayahusiani kabisa na hii issue.Mkuu shida kubwa ya NAPE, amesahau kuwa Alienda ikulu akaomba ladhi kabisa, Tena kwa kuita waandishi wa habari, Sasa Leo anasema et hela ilienda wapi, kumbe alikuwa anahujum chin kwa chini?? Mzee wa watu alimsamehe kabisa, Leo anakuja Tena na sarakasi zake, nape, membe, na makamba pamoja na yule kule bandalin ya kichn kunasik watawaeleza tu watz nn kilitokea, as long as tz ipo,
Mnaoyetea, labda mtupe mahesabu hizo pesa zilitumikaje. Walau tu kwa kutupa bei ya Dreamliner....!!
Awamu ile tuliaminishwa kuwa tunatumia pesa yetu ya ndani sasa hilo deni limetoka wapi? Nape is right.