Anzisha chama chako,Mbowe mwachie chadema ili imfie mikononi,Kama alivyofanya Zitto.
 
Kwanza chai umeshakunywa?vipi una uhakika wa mlo wa mchana?je ikifika jioni pakulala papo?TUANZIE HAPO KWANZA,THEN TURUDI KWA MBOWE...
 
Kweli kamanda asiyechoka kumdandia mbowe kila muda,ebu pumzika kwanza utapata presha.
 
 
Makamanda siku chama chetu kikirudi mikononi mwa wananchi wapenda haki na maendeleo basi mwaka 2025 tunakamata dola.

Ccm ni chama dhaifu na wakora na kwa sababu hiyo kwa huu utawala wa huyu mama wataharibu sana na kupoteza imani kwa wanachi. Maana watafanya ufisadi wa kufa mtu.

Hivyo ili tuchukue dola mwaka 2025 lazima Mbowe na matapeli wanaotuharibia chama kwa kufanya mali yao tuwaondoe.

Mwaka 2025 hii nchi ni yetu.
 
Kamanda upo sawa.
 
Nachangia hapa Kwa mawazo huru kabisa kulingana na hali navyoiona , japo mi siyo fan wa jiwe hata kidogo.

Chadema Wana nafasi ya kujikusanya na wakidhamiria 2025 wanachukua nchi , Ila wanatakiwa wawe wanafk kupitiliza......

1.Kanda ya ziwa ni kanda yenye nguvu Sana kwenye sanduku la Kura and believe me wanazengo wa kule hawana imani kabisa na mama , hii inatokana pia na mfumo dume wa makabila hayo, pamoja na tetesi zilizozagaa kuwa kiongozi wao aliuawa..! Hvyo Chadema wasimwache Maghufuli , waeleze mabaya yake na mazuri yake alaf wamalizie Tu Kwa kusema heri Maghufuli kuliko mama, aiseee wanatoka na kijiji kule .....

2.Mikoa ya kaskazini hyo hakuna shida ni ya Chadema

3. Ufisadi utakuwepo wa kutosha sababu mama anaonekana hayupo solid

4. Mama kuwa karbu na kikwete mtu ambaye ana ushawishi Kwa wafanyakaz , na kundi la watu wa kipato cha Kati na juu, Ila kundi la maskini ambao ni wengi wanamuona kama muuza nchi

5. Japo sio fan wa jiwe ila jamaa kundi la maskini alilishika maskio

6. Last defense ya CCM ni Dola

Kazi iliyopo Chadema wanatakiwa wajikusanye na wajipange kiujumla Tu sa hv nchi inahang , watu wapo dilemma
 

Mkuu si kweli kuwa mhofiwa #1 na chama mboga mboga kwa CDM ni huyo uliyemtaja?

Si kuwa pamoja na jitihada na uwekezaji mkubwa kuisambaratisha CDM katika vipindi vyote na hasa cha mwendazake kizingiti amekuwa huyo bwana?

Yapo mengi ya kuorodhesha yenye kuonyesha kuwa chama mboga mboga watafanya sherehe kuu wakifanikiwa kuisambaratisha huyo mwamba kwa namna yoyote.

Bahati mbaya zaidi ni kuwa CDM inafahamu kwa kumuweka huyo bwana madarakani chama mboga mna maumivu ya kufa mtu.

Hiiiiii bagosha!
 
Nilimuona kiongozi mmoja wa chama chetu anaitwa Mwaipaya alichangisha pesa kujenga ofisi huko Njombe lakini pesa zilipitia kwenye akaunti yake ya M pesa na Tigo pesa hii ni janjajanja.

John Pambalu alipochangisha pesa kumtoa lupango yule mwandishi vitabu vya kijasusi anayeitwa Yeriko alitumia akaunti yake binafsi ya M pesa na Tigo pesa na hata hakusema kiasi kilichozidi.

Hiii janjajanja ya kutafuna michango kupitia Chadema imezidi sana. Tuache mara moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…