We jitoe akilitu.
Juzi hapa mmeonyeshwa jinsi mzee wa Miga anavyo tifua minyamachoma pembeni ya beberu, nyie mnakula marage 7dys kila wiki alafu utasikia mnaambiwa mumchangie nauli arudi nyumbani, mambo kamahayo ndio watu wanaulizia chenchi zao ilizitumike.
mnaoulizia ni nyie ambao hamkuchanga na mlikuwa mnatuzodoa kuwa hatutafanikiwa kukamilisha michango
 
Kwahiyo kama ni hiyari ndio taarifa za kilichopatikana kilicho tumika na kilichobaki iwe ni siri?.

Sisitiza uwazi mkuu ilikudhibiti upigaji,kunasiku watu wakigundua wenyewe kama kuna upigaji alafu viongizi wakitoa ufafanuzi itakuwa too late. Likitokea bakuli jingine tutaliangaliatu.
Wachawi wataonagere na kuanza vile vitimbi vya kipindi kifupi kilicho pita.Zaidi mlijua kupora zile nafasi za kupata ruzuku ndio kifo kwa wale msiowapenda, shida ni kuwa mawazo mandala ni imani ndani ya mioyo ya watu.
 
CHADEMA ni chama ambacho kinajitanabaisha km chama kinachojiendesha kidemokrasia,na ktk demokrasia Uhuru wa kujieleza na kusikilizwa ni miongon mwa nguzo zake sasa inashangaza miongon mwetu tunaleteana kebeh linapokuja swala LA kujieleza.
Shida ni kuwa mamluki wengi na hasa wasiopenda mawazo mbadala ,uhuru ,haki na maendeleo ya kweli kwa taiga letu.
 
Back
Top Bottom