Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Wewe ndie ambae unapinga nachokisema huku ukikazia kilekile ambacho toka mwanzoni nilikisema. Huwezi kulazimisha kila mtu awe na mtazamo kama wako, ni mtu asie na maturity ndie anaekuwa na mawazo dhaifu kama hayo.

QUOTE BY SAMARITAN
Thank God you are just typing behind the keyboard. Sasa naona unarudia kile kile ambacho nimekisema toka mwanzo kwamba siko jela au kifungoni sasa hivi kwa vile similiki bastola. Nikaenda mbali zaidi kwamba, nafaham sijawa na uwezo wa kuvumilia/kustahimili mikiki mikiki na baadhi ya wapuuzi, siku nikiwa tayari ntafanya mpango wa kumiliki isiniletee matatizo. Kipi haujakielewa hapo?
 
Nilienda pale Tanganyika Arms
Zina bei sana kuanzia 3.6mil bila risasi, tena ukimaliza hapo uanze kuhonga hadi upate
Process ndefu zinazochangia rushwa
 
Nilienda pale Tanganyika Arms
Zina bei sana kuanzia 3.6mil bila risasi, tena ukimaliza hapo uanze kuhonga hadi upate
Process ndefu zinazochangia rushwa
Hivi unaponunua silaha,risasi unalipia separately? Sio kwamba inakuwa package moja na ukizimaliza ndipo unaanza kununua?
 
1. Kuwindia wanyama ni
Rifles zote kama 458, 375, ...
2. kuwindia ndege ni Short Guns zote
3. Kivita ni SMG, AK47,G3, LMG ....
4.Kujilinda ni bastola aina zote, short Guns zote lakini mtu binafsi hawezi kumiliki fungu la tatu
unajua kirefu cha smg?kirefu chake ni short machine gun so husiwe unakulupuka kujibu hoja wakati hujui then unapotosha watu
 
unajua kirefu cha smg?kirefu chake ni short machine gun so husiwe unakulupuka kujibu hoja wakati hujui then unapotosha watu
Acha uongo kirefu cha smg ni sub machine gun hata JKT mujibu wa sheria hujapita halafu eti unatoa ufafanuzi wa silaha kwani ukikaa kimya utapungukiwa nini.
Watu wengine mnakera kweli
 
Nakumbuka kipinda cha nyuma nilikuwa na bastola na nilivyo ipata sikupitia stage zote hizo nilipata kupitia kwa mgongo wa mzee wangu, Siku moja mzee akaja kuniambia nimekupa siku mbili tu uwe umesha irudisha, nikagoma kuirusha siku ya tatu asubuhi zikaja defenda 2 zimejaza askari wakachukua mali yao nikaenda kufuta kibali cha umiliki silaha

Leo hii nimebaki na Rungu kama silaha yangu
 
Hii thread nimeikumbuka duuu! yaani Enzi hizo nilichangia tena nilikuwa sijawa verifaidi usa! JF mnatunza nyaraka
 
Vipi kama ushalipia halafu moja ya vikao wakaona hufai kumiliki silaha ya moto,
1. Hela utarudishiwa?
2. storage charges nayo inakuwaje?
 
Bastola muhimu sana, asikwambie mtu. Ukiwa nayo unakuwa na extra power you can go anywhere and at anytime
Hivi unajua kama watu wanataka kukuibia alafu wakajua kuwa una bastola, hatua ya kwanza ni kuuawa ili usimzuru yeye hivyo ni bora usiwe nayo ili hata akitaka Mali kwako anaweza kuchukua alafu akakuacha
 
Kama hujui nyamaza acha kudanganya watu SMG means sub-mashine gun, inaitwa sub sababu inabadili mapigo tofauti na SAR ambayo ni semi automatic riffle ambayo ukipiga lazima ukoki tena ili upige.
 
Kama hujui nyamaza acha kudanganya watu SMG means sub-mashine gun, inaitwa sub sababu inabadili mapigo tofauti na SAR ambayo ni semi automatic riffle ambayo ukipiga lazima ukoki tena ili upige.
Tofauti za hizo mbili ni,

Smg-inachanganya.

Sar-inapiga moja moja tu.

Auto inasimama badala ya neno manual yaani kukoki.
 
Nakumbuka kipinda cha nyuma nilikuwa na bastola na nilivyo ipata sikupitia stage zote hizo nilipata kupitia kwa mgongo wa mzee wangu, Siku moja mzee akaja kuniambia nimekupa siku mbili tu uwe umesha irudisha, nikagoma kuirusha siku ya tatu asubuhi zikaja defenda 2 zimejaza askari wakachukua mali yao nikaenda kufuta kibali cha umiliki silaha

Leo hii nimebaki na Rungu kama silaha yangu
Bora waliichukua mkuu! Manake sijui ulikuwa unawaza nini ulivyoamua id yako iwe jambazi....

Id yako inaonyesha ulivyo tuu..!
 
Back
Top Bottom