Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

Pole sana kwa msiba wa mwanao uliymtarajia..mungu awatie nguvu hasa mama yake aliyebeba miez tisa..awajalie wepes ktk kipind hiki nakuwapa moyo wakusahau na kisha awape mwngne kwa kadri ya haja ya moyo wenu
 
Pole sana ndugu yetu....Mwenyezi Mungu atakupa wengine....
 

Pole sana Mkuu....
 
Pole sana mkuu.
Mwenyezi Mungu akupe moyo wa kulipokea pigo hilo kwako na familia.
 
Mungu akuimarishe na ukupe amani ya moyo.tumshukuru kwa kila jambo.Yeye mtoaji na Yeye ni mtwaaji.
 
Pole sana,Mwenyezi Mungu ni mwenye rehema,atakuvukisha katika kipindi hiki kigumu kama alivyoweza kutuvukisha tulio wengi huko nyuma katika hali kama yako.

Rest in peace angel xxx
 
Naomba umpe pole mwanamke mwenzangu zaidi najua maji ya moto bila mtt yanaunguza zaidi, mungu awape nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…