Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

Pole sana kaka etu na Mungu awe pamoja nanyi katika kipindi hichi na amini kua Mungu ndio alietoa na pia ni yeye alietwaa,cha maana ni Jina lake lishukuriwe
 
Poleni sana, Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu
 
Poleni sana bila shaka MUNGU ana mpango muri tu na ninyi,atawapa kwa wakati wake'
 
Raha ya milele umpe ee bwana....na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani.AMEN
 
Pole kwa kumpoteza malaika wenu, pole kwa shemeji pia. Kuwa naye karibu sana, kwa kipindi hiki kigumu.
 
Jana nilifiwa na mwanangu wakati mama ake akiwa katika hatua za kujifungua, ni maumivu sana lakini naamini ni mapenzi yake Mungu.
Ninawashukuru wote waliofika kunijulia hari,waliotoa pole zao na nyote kwa pamoja, mimi sina cha kuwalipa ila ninamwomba baba Mwenyezi awape rehema zake na awabariki sana!
Amina.

Pole sana mkuu.
 
Pole sana mkuu Rweye...Mungu ni muweza wa vyote atawapa mwingine
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom