Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

Mungu akutie nguvu,akufute machozi na akuzidishie baraka upate wengine zaidi.
 
Pole sana wote wazazi na ndugu na marafiki wanaokuzunguka!Taifa limepoteza nguvu kazi!!
 
Jana nilifiwa na mwanangu wakati mama ake akiwa katika hatua za kujifungua, ni maumivu sana lakini naamini ni mapenzi yake Mungu.
Ninawashukuru wote waliofika kunijulia hari,waliotoa pole zao na nyote kwa pamoja, mimi sina cha kuwalipa ila ninamwomba baba Mwenyezi awape rehema zake na awabariki sana!
Amina.
pole sana mkuu,pokea faraja toka mbinguni
 
Pole sana na Mungu awasaidie, kwani hupanga jambo kwa makusudi yake.
 
Back
Top Bottom