Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

Poleni sana mkuu, nawaombea faraja katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana Mkuu! Hata mimi nimempoteza mwanangu nadhani ni siku moja na wako akiwa na siku tano tu.
 
Pole sana kwa msiba huu. Mungu akujaalia subira na nguvu za kuhimili mitihani hii ya kimaisha. Hii ndio hali ya dunia na ndio njia yetu sote.
 
Poleni sana, Mwenyezi Mungu awape subra kipindi hiki kigumu!
 
Kwa Mungu kila jambo lina sababu.. Nakuombea kwa Mungu akupe faraja na ampe mkeo nguvu na ujasiri ktk kipindi hiki kigumu
 
pole sana mkuu Mungu alitoa na Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe
 
Pole sana kaka...ni mapenzi ya Mungu endelea kumtumainia yy atakupa mwengine.pole sana.
 
dah pole mkuu...serikali na sisi wananchi ni jukumu letu kuboresha huduma za mama na mtoto kupunguza vifo vya vichanga wasio na hatia au mama zao kufa na kuwaacha yatima.
 
Back
Top Bottom