Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

Jana nilifiwa na mwanangu wakati mama ake akiwa katika hatua za kujifungua, ni maumivu sana lakini naamini ni mapenzi yake Mungu.
Ninawashukuru wote waliofika kunijulia hari,waliotoa pole zao na nyote kwa pamoja, mimi sina cha kuwalipa ila ninamwomba baba Mwenyezi awape rehema zake na awabariki sana!
Amina.

pole mkuu
 
Jana nilifiwa na mwanangu wakati mama ake akiwa katika hatua za kujifungua, ni maumivu sana lakini naamini ni mapenzi yake Mungu.
Ninawashukuru wote waliofika kunijulia hari,waliotoa pole zao na nyote kwa pamoja, mimi sina cha kuwalipa ila ninamwomba baba Mwenyezi awape rehema zake na awabariki sana!
Amina.

pole not bad you need to rest her and think the future sorry bro..
 
Pole sana mkuu, Mungu awape faraja na awajalie watoto mtakao. Inauma sana.
 
mkuhu pole sanah. May God give you the strength to handle the situation in the best way possible and your child's soul rest in peace. Ameen
 
Wa kwetu, pole sana. Mungu awe nanyi katika hiki kipindi cha Mpito.
 
Pole sn mkuu. Na pole kwa mwenza wako. Kazi ya Mungu haina makosa.

In.sha Allah Mungu atawapa rizk nyengine yenye kheri Nanyi. Amin
 
Poleni sana.MUNGU atusaidie,mambo ya uzazi ni mtihani sana
 
tutasingizia mapenzi ya Mungu hata kwa ambayo hayakua mapenzi yake ila ni kwa sisi kukosamaarifa. unaenda hosptial manesi wanamtupa mzazi wala hakuna kinachoendelea unategemema nini, mapenzu ya Munngu yapo hapo? tujue kutambua nyakati. kwa sababu biblia inasema wazi, JIHADHALINI SIKU ZA MWISHO KUTAKUWA NA NYAKATI ZA HATARI. 2Timotheo:3 Watu watakua wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wakaidi, wasio na shkrani, wasaliti, waongo, wasingiziaji..... yapo kama 19 mathayo 24. Yesu mwenyewe anasema maneno kama hayo Kujihadhali ndo nini? (homework)
 
Pole sana mkuu, kama ulivyosema mwenyewe ni kazi ya Mungu.
Tunawaweka wewe na familia yako kwenye maombi tukiomba Mungu Awape faraja yake na amani.
Kama wengi waliotangulia kukushauri, ubaki na faraja ya kuwa mama amesalimika, endelea kumtunza apone haraka, na kwa pamoja mtavuka kipindi hiki kigumu.
Poleni sana!
 
Back
Top Bottom