Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

poleni sana mwenyezi mungu amtie nguvu mama apone haraka
 
pole sana mkuu japo nimeona uzi mda huu pokea tu pole zangu Mungu akutie nguvu katika wakati huu mgumu kwako. Amen.
 
Pole Sana,nami ilinitokea mwaka jana tena na operation juu.Mungu mwema maisha yanaendelea!
 
Poleni Sana.Mwenyezi Mungu Awape Ujasiri,Awatie Nguvu Ktk Kipindi Hiki Kigumu Cha Majonzi.
 
poleni sana!jitahidi uwe karibu sana na mkeo katika kipindi hiki cha majonzi!
 
Back
Top Bottom