Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

Pole sana Mkuu. Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe.
 
Pole sana Rweye, RIP Kichanga.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kaka.Pole pia kwa shemeji.Poleni sana,Mungu awatie ujasiri katika kipindi hiki kigumu,
 
Jana nilifiwa na mwanangu wakati mama ake akiwa katika hatua za kujifungua, ni maumivu sana lakini naamini ni mapenzi yake Mungu.
Ninawashukuru wote waliofika kunijulia hari,waliotoa pole zao na nyote kwa pamoja, mimi sina cha kuwalipa ila ninamwomba baba Mwenyezi awape rehema zake na awabariki sana!
Amina.

Pole sana...inauma sana lakin ndo hivo tena binadamu hatuna uwezo wa kukabiliana na hii asili.
 
Pole sana.....Mwenyezi Mungu akupe nguvu.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom