Ni kweli ila Mwali anapaswa kujua kuwa hapa Arusha tuna umoja wa wana JF, tuna katiba na viongozi, tuna mpaka bank a/c. Hivyo basi twatambuana kwa IDs zetu siku zote na hatujuani real names.
ni very specific.Sunguti2009 alikuwa amelazwa hospitali ya Mount Meru, lakini hali yake ilibadilika ghafla baada ya figo zote kufeli.
Leo hii hii alisafirishwa kwenda kupata matibabu zaidi KCMC, baada ya kupokelewa na madaktari, kabla hajaanza kupata matibabu akawa ameaga dunia.
Nina mfahamu kamanda huyu mpambanaji,natambua mchango wake kwenye chama hasa anayoifanya mpaka sasa hapa Arusha,kimsingi ni jembe la kazi litakalowakomboa wana Bahi na wagogo wenzangu,mimi nakwenda kuwakomboa wana mtera kupitia kata ya Fufu-chamwino dodoma.
Nyie ndio mnaohitajiwa na chama.
Nilifikiri wewe ndiye mwenye wajibu wa kutujulisha maana wengine hatumfahamu. It's nice that now everyone is dreaming of becoming a mbunge. It pays handsomely.
Na kwanza wa milele umuangazie.
Bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe,RIP.Mods,
Sijui ni jukwaa gani lingefaa kwa hii habari, mtanisaidia kuipeleka jukwaa linalofaa. Ila kwakuwa yeye amekuwa member wa JF na muumini wa jukwaa hili la siasa ni vizuri nikaanzia hapa.
Ni kwamba Member anayejulikana kwa ID ya sunguti2009 amefariki dunia leo jioni hii.
Sunguti2009 alikuwa amelazwa hospitali ya Mount Meru, lakini hali yake ilibadilika ghafla baada ya figo zote kufeli.
Leo hii hii alisafirishwa kwenda kupata matibabu zaidi KCMC, baada ya kupokelewa na madaktari, kabla hajaanza kupata matibabu akawa ameaga dunia.
R.I.P. Sunguti2009.
Nawasilisha