TANZIA: Member wa JF, Sunguti2009 afariki dunia

TANZIA: Member wa JF, Sunguti2009 afariki dunia

........RIP Sunguti2019. Bwana ametoa na ametwaa, jina lake lihimidiwe.
 
P.I.P Sunguti 2019. Kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho. Na sisi wengine tunasubiri zamu yetu ifike tuelekee kwa MUUMBA. Naomba familia ya marehemu ijipe MOYO katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa MPENDWA.
 
Mungu amlaze mahala pema peponi. Wote tutarejea

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
R.I.P Sunguti. Pole kwa wana familia na wana JF wenzangu. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahali pema peponi, Amina.
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe. Pole kwa familia yake,marafiki na membaz wote.
 
Dear mods and admins,

Siku nikifariki nawaombeni tafadhali msiruhusu thread kama hii kufunguliwa na kuunganisha ID yangu na circumstances za kifo changu unless wanitaje under my real name na wasiweke ID nilio kua natumia.

Imagine marhem alifungua ID akiamini nobody would know who he is so he posted freely. Sasa leo hii kafariki, na watu wanamtambua kumbe ilikua ni fulani. maana kwa description ya ailment, na tarehe/sehem ya kufa, lazima anaye mjua akipita JF atamtambua ni nani.

Jaribuni kufukiria consequences ikiwa huko nyuma aliwahi kupost zile threads za "mpenzi wangu ana mbweche kubwa" or things like that. Na bahati mbaya sasa amefariki hawezi tena kupata nafasi ya kujitetea ikiwa ID yake itaibua scandals.

So not only natoa ushahuri wa bure kuhusu watu kuunganisha ID ya marhem na maisha yake (or kifo chake) but I only leave my will here, for the day I will die. This is name calling in its worse form.

Mwali

na support hapo kwa sana tu, ni bora mada kama hizi ziwe na real name ya marehemu, hapa zitafukuliwa threads/comments zake zotee, na kila mtu atasema lake,hata mie ni mmojawapo ambae sitataka kitu kama hiki kinitokee.
 
binadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ni chache sana!!


R:I😛 sunguti2009
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom