Tanzania ni Sovereign state, hivyo Mahakama ni sisi wenyewe, shida yako nini?Mbona Tanzania hawakuenda kwa mahakama ya EAC kama Uganda walivyo enda huko kuwasilisha kesi ya kutumia Kenya Pipeline kusafirisha mafuta yao? Haya maamuzi yao ni ya hasira na kitoto kulipiza kisasi hivyo.
😘 Kwako mtazamaji ndio unanifanya niendelee😅Ndugu mtazamaji
Unafirimbwa mkunyalandSasa si bado Tanzakundu ndio mtakuja Nairobi kwa Magoti mfunguliwe. You people qre stupid, you think when kenya blocked your airlines from carrying goods they did not know the consequences? Mafala sana. Nairobi dar Route profits are lower than the cargo profits.
Na bibi yenu na machawa wake waandamiziUliambiwa na nani?
Ukifika Sema unaishi Europe utawazagamua mpaka uchoke,wanahusudu sana kwenda majuuSijawah wajaribu. Itabidi niende huko kupata uthibitisho
Ukifika Sema unaishi Europe utawazagamua mpaka uchoke,wanahusudu sana kwenda majuu
Kwaiyo nyie chadema huwa hamuendi mahakamani na kushindwa?Mimi nimekwambia alienda mahakamani na alishindwa. Sasa unataka mimi tena ndio nikwambie ww unachotaka?!
Hakuna mahakama za kutoa haki kwa wapinzani Tanzania boss. Rejea uchafuzi wa 2020 hakuna mpinzani aliyepotezq muda wake kwenda kwenye hizi mahakama futuhi. Isitoshe matokeo ya rais hayahojiwi mahakamani hapa kwenye nchi ya maiti hai.Kwaiyo nyie chadema huwa hamuendi mahakamani na kushindwa?
Basi hata Odinga anasema hakuna mahakama ya kutoa haki Kenya maana alitaka server na za election committee zifunguliwe ili kuhakiki kura na mpaka Leo hazijafunguliwa kwaiyo hapo haki ipo wapi hata nyie chadema huwa mnaenda mahakamani na mnashindwa vilevileHakuna mahakama za kutoa haki kwa wapinzani Tanzania boss. Rejea uchafuzi wa 2020 hakuna mpinzani aliyepotezq muda wake kwenda kwenye hizi mahakama futuhi. Isitoshe matokeo ya rais hayahojiwi mahakamani hapa kwenye nchi ya maiti hai.
muda wote mnawaza kukosoa mama yetuMama yenu si alifungua Nchi.
Leo watu wanajificha kama hayakuwahi tokea huko nyuma, waafrika tu wanafiki sana yaani.Ingekua jembe kafanya hivi angetukanwa sana,uliona mbali R.I.P JPM
Narudia tena, mahakama Kenya ziko huru, huwezi fananisha na hizi za makada wa CCM hapa. Nitajie cdm walienda mahakama ipi baada ya uchafuzi wa 2019-2020?Basi hata Odinga anasema hakuna mahakama ya kutoa haki Kenya maana alitaka server na za election committee zifunguliwe ili kuhakiki kura na mpaka Leo hazijafunguliwa kwaiyo hapo haki ipo wapi hata nyie chadema huwa mnaenda mahakamani na mnashindwa vilevile
Tuonyeshe huo uhuru wa mahakama ya Kenya na nyie kutokwenda mahakamani ni kwamba mmekubali matokeoNarudia tena, mahakama Kenya ziko huru, huwezi fananisha na hizi za makada wa CCM hapa. Nitajie cdm walienda mahakama ipi baada ya uchafuzi wa 2019-2020?
Nasisitiza, mahakama za Kenya ni huru, na hapa kwetu Kuna majengo ya mahakama yaliyo chini ya makada wa ccm. Uende kwenye mahakama zinazoandikiwa hukumu na hayo hayo majizi ya kura ya ccm?Tuonyeshe huo uhuru wa mahakama ya Kenya na nyie kutokwenda mahakamani ni kwamba mmekubali matokeo