Tanzania: Utawala bora vs Rushwa

Tanzania: Utawala bora vs Rushwa

c'mmon guys, have you really read the reports... Hizi naninii za Kimataifa nazo ni janja tu.. Halafu hizi ripoti zao nyingine hazina msingi wa kimantiki. Mambo ya kuweka sawa. Kwanza, si kweli ripoti hiyo imeitaja Tanzania kuwani nchi ya mwisho katika mambo ya kupigana na rushwa! Sijui huyo mwandishi alikuwa anaangalia ripoti gani. Pili, katika makundi yote sita angalia ni nchi gani zilizoipita Tanzania, na uone kama kweli kuna mantiki. Kuna baadhi ya nchi zina alama ya juu lakini kila mtu anajua si kweli hivyo!! Nawaacha nyinyi muamue kama hii ripoti ina uzito wa Transparency International or Human Rights Watch.

Category One: Civil Society, Public Information and Media

This category looks at civil society organizations, the media (including licensing requirements), and public access to information.

index1.gif


Category Two: Elections

This category looks at voting and citizen participation, the integrity of elections, and regulations around political financing.
index2.gif


Category Three: Government Accountability

This category looks at accountability across the executive, legislative and judicial branches of government as well as the budget process.
index3.gif


Category Four: Administration and Civil Service

This category looks at administration and civil service regulations, whistle-blowing measures, and regulatory processes around procurement and privatization.
index4.gif
 
Category Five: Oversight and Regulatory Mechanisms

This category looks at oversight and regulatory mechanisms such as a national ombudsman, supreme audit institution, taxes and customs, financial sector regulation, and business licensing.
index5.gif


Category Six: Anti-Corruption Mechanisms and Rule of Law

This category looks at anti-corruption laws, the country's anti-corruption agency, rule of law, and access to justice (including law enforcement).
index6.gif
 
Mwanakijiji,

Mbona ktk hiyo ratiba sizioni nchi za magharibi - bara Ulaya!...Nachoona ni US na nchi changa tupu au macho yangu.
 
Mwanakijiji,

Angalau mwenzangu nawe umeuona upotoshaji wa huyu mwandishi, na kunidhihirishia tena kuwa u-mchanganuaji mzuri. Too bad that unapokuwa na impartiality ya namna hii, basi humu ndani unashutumiwa kuwa ni u-CCM na kutetea maslahi!

Sote tunajua nchi yetu inayo hayo matatizo, tena sana tu ... lakini sijakubali kuwa ni ya mwisho! .. sijui mwandishi alikuwa na nia gani kupotosha ukweli namna hii.

Mwandishi wetu anasema: "TANZANIA imeshika nafasi ya mwisho kati ya mataifa 43 duniani katika masuala ya utawala bora na udhibiti fedha na rushwa.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika la kimataifa la Global Integrity Jumatano iliyopita, Tanzania imeonyesha kushika nafasi ya mwisho kwa kila kigezo miongoni mwa vigezo sita vilivyoainishwa."


Pamoja na kuwa hiyo ripoti ya Global integrity ni doubtful, still ukiipitia hapa http://www.globalintegrity.org/data/2006index.cfm haijatuweka sisi kuwa ni wa mwisho... hata katika kipengele kimoja!
 
We are next to Zimbabwe. Is that something to be proud of?
 
being in the 'very weak' category is nothing to be proud of, but the point is hakuna haja ya kudanganya kuwa eti sisi ni wa mwisho!
 
Jasusi, how comprehensive is the report.. inapochagua nchi 43 kati ya nchi karibu 200!? Na takwimu zake ni za kuaminika kiasi gani ? Na kweli, hivi sisi kweli tuko karibu na Zimbabwe?!!
 
Mwkjj,
Nitaisoma kwa makini zaidi kesho nikifika ofisini. Lakini hapo hapo tukubali kuwa rushwa nyumbani Tz imefumka kama cancer.
 
Jasusi, hakuna ubishi.. lakini nchi kama Nigeria inapopata alama bora zaidi... hatuna budi kuinua nyusi zetu!
 
Ni kweli kuwa mwandishi huyu alipotosha sana kusema kuwa ni ya mwisho kati ya mataifa 48" badala ya kusema kuwa ni kati ya mataifa yanayofanya vibaya kwenye mambo ya utawala bora na rushwa.

Hata hivyo tusimshambulia kiasi hicho. Tanzania bado tuna njia ndefu
 
Ni kweli kwamba kuna tatizo kubwa la Rushwa na mambo mengine mengi kama ilivyoelezwa kwenye ripoti ya Global integrity iliyotoka Jumatano iliyopita!.Lakini pia si uungwana kuandika habari za UONGO,tunataka waandishi wanaoandika habari za ukweli na uhakika,Tafadhali kwa anayejua jina la muandishi wa habari hii atujulishe kwa kuweka jina lake kwenye Forum.Haipendezi kuandika habari za Uzushi,ni kukiuka maadili ya uandishi!
 
hawa waandishi wanafikiri Watanzania hawawezi kunusa upuuzi kwa vile imeandikwa kwenye magazeti!!
 
Kwa macho yangu hapa tulipo hatukidhi mahitaji ya kuwa lifted unaweza kuondoa neno 43 lakini wa mwisho it stands still mnasemaje?
 
Nadhani mwandishi alikuwa na nia ya kusema "Nchi ya Mwisho katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.

pia wale wanaosema kuwa hatuko karibu na Zimbabwe nadhani ni kwa sababu Zimbabwe imekuwa ikiandikwa kila siku kwenye magazeti na kutangazwa kwenye vyombo vinginevyo vya habari. Nakuhakikishieni kama uendawazini wa Tanzania ungeandikwa na kutangazwa hadharani kama Zimbabwe basi hata watu wangeogopa kujitambulisha kutoka Tanzania.

Wewe fikiria nchi yetu ni ya tatu Afrika kwa kuzalisha madini lakini bado ni mojawapo ya nchi masikini dunia (tupo kwenye nchi 20 za mwisho)

ukweli saa nyingine unauma sana.
 
Mzee MKJJ acha kasumba ya chama, mtu asipokusifia kelele mtindo mmoja, tujifunze kupokea 'crtic as a challenge' hata kama hawasemi ukeli si kuhamaki ni kuangalia walio sema na kujipima kama ni uongo kaa kimya kupiga kelele haisaidii utaumbuka mzee mzima.

Muungwana yalimkuta kenye darwins nightmare alibisha kama unavyobisha, mwisho wa siku wakatuambia alishauriwa vibaya ......

Hebu soma kipande hiki kwa makini
http://www.globalintegrity.org/reports/2006/tanzania/notebook.cfm

Reporter's Notebook: Tanzania
By Sebastian Sanga

There is a loud cry ringing out in every Tanzanian city: the outcry over corruption in the Ministry of Land, Housing and Human Settlement. Dubious deals have found their lucrative place in this ministry: residential and commercial houses on public open spaces, double allocation of plots and the haphazard mushrooming of petrol stations, among other violations. In a 2005 report, the Prevention of Corruption Bureau (PCB) confirmed that corruption was deep-rooted in the land sector, revealing, among other travesties, that property appraisers collaborated with land officers to falsify title deeds. Approving and issuing building permits is such a slow process that citizens are compelled to pay bribes for every stage, from typing the certificate to obtaining the land commissioner's signature, often totaling some 135,000 shillings (US$105) on top of official fees.

President Benjamini Mkapa, whose administration ended in November 2005, had vowed to adopt openness and transparency, but failed to live up to his promise. Land Minister John Magufuli told Parliament in August 2006 that his officials were "dirty", and that some, including Deputy Minister Rita Mlaki, owned questionable plots for speculative purposes. Ms. Mlaki refutes the allegations, but the new president, Mr. Jakaya Kikwete, has admitted that the Land Ministry is one of the government's most corrupt.

Unfortunately, The Land Ministry is not the only one rendered immovable by the crippling disease of corruption. The Controller and Auditor General estimates that over 20 percent of the government's budget in each fiscal year is lost to corruption, including theft, fraud, and fake purchasing transactions. The list of victims constitutes a litany of public woes.

The privatization process has seen numerous controversial orders flow from the top down. Members of Parliament who represent the public interest seem overpowered by those with less integrity. Former Finance Minister Basil Pesambili Mramba, who currently serves as minister of infrastructure development, wrote a controversial letter in September 2005 extending the port of Dar es Salaam's container terminal lease contract from 10 to 25 years without following proper procedures.

The letter, marked confidential, informed Tanzania Revenue Authority Commissioner General Harry Kitillya about the extension of the lease agreement between the Parastatal Sector Reform Commission and Tanzania Container Terminal Services, a local partnership between a Philippines-based company and Vertex Financial Services of Dar es Salaam, which earns more than 140 billion shillings (US$11 million) per month. Normally the PSRC would sign a lease after following required procedures including consultations with stakeholders.

Rampant corruption has also engulfed the procurement system, where billions of shillings sink into the wrong hands every year. In July 2006, the Ministry of Finance came up with a proposal to write off debts worth over 46 billion shillings (US$3.6 million). Skeptical MPs, especially from the opposition wing wanted to form a committee to investigate why debtors had reneged on their commitments. One case singled out for scrutiny involved KJ Motors, which never delivered on a 147 million-shilling (US$115,000) contract to supply motor vehicles. The Parliamentary Public Accounts Committee said signs pointed to corrupt public servants and their liaisons with notoriously dirty businessmen.

While such graft keeps Tanzanians poor, corruption in the Ministry of Health and its agencies, such as the Tanzania Food and Drugs Agency (TFDA), actually puts their lives at risk. Counterfeit drugs abound in pharmacies as officials continue to solicit bribes from illegal dealers, and many of the HIV testing kits supplied hospitals are defective. The contract that granted two companies exclusive rights to sell HIV rapid-test kits in Tanzania is shrouded in suspicion. Tanzania tested several HIV kits for national distribution a few years ago, but senior officials at the Ministry of Health and Social Welfare decided to include only the Capillus kit, manufactured by the Irish company Trinity Biotech, and Determine HIV, manufactured the American firm Abbot Laboratories. Both products, distributed solely by Bharat Rajan's Biocare Health Products Company, are now outdated as HIV rapid-test kits, as they detect the virus when antibodies develop after an attack, while the latest generation of test kits are able to detect it as soon as it enters a person's bloodstream by detecting antigens. Further, the Capillus kit had failed to meet key benchmarks set up by the ministry that tested the kits. The media, which reported widely on the story, linked the companies' monopoly on the test kits to corruption.

Unfortunately, the Tanzanian courts offer no recourse. In a 2005 public survey by the PCB, 97 percent of respondents said corruption was rampant in the country's judiciary. The study also tracked the various forms that corruption takes at different stages. At the beginning of the legal process, court clerks ask for bribes from people filing cases. Failure to pay may have devastating consequences, such as deliberately hidden or misplaced documents. At the hearing stage, corruption manifests as delays in setting hearings, vague or contradictory orders, improperly filed documents and deliberate omission to record court proceedings. And at the verdict stage, cases are dismissed on technical grounds or vague interpretation of the law, judgments are delayed. Factors such as poor remuneration, poor working facilities and inadequate supervision tempt judicial personnel to the dark side. Resident magistrates rarely make more than 100,000 shillings (US$80), without benefits. High court judges make over 500,000 shillings (US$390), supplemented with other fringe benefits.

Elections in Tanzania don't fare much better. Corruption was especially rampant during the 2005 campaign, when the ruling Revolutionary State Party (CCM — Chama Cha Mapinduzi) reportedly distributed cash, mobile phones, and other rewards to voters. The CCM is known for using election law provisions that allow candidates to offer hospitality, gifts, and favors – known as takrima – to constituents during campaigns. The law does not limit the form, amount, or duration of such gifts, creating what critics call a "loophole for corruption"—particularly pernicious since the CCM received significantly greater government subsidies under the law than other parties. The High Court recently banned takrima.

Former CCM Secretary General Philip Mangula criticized the PCB for failing to curb corruption in the electoral process. Tanzania's anti-corruption laws are governed by the Prevention of Corruption Act, a poorly designed law that that the establishment of the PCB has sections, which make the fight of corruption difficult. For example, Section 19 of the Act declares that prosecuting a public officer charged with corruption is only effective with the written consent of the director of public prosecution, but written consent is often difficult to acquire. The PCB is assigned to investigate acts of corruption and thereafter submit the evidence gathered to the DPP, which decides whether or not to prosecute suspects. This makes people call PCB a toothless agency for failing to fight corruption, especially that which involves big shots.
 
Mwanasiasa

Eeee bwana ee. hebu Wacha kutuambia jinsi tunavyojipanga, huyo jamaa wa TIC anahalalisha wizi? Hayo mambo ya CRDB na TIC watu wangesikiliza kama wana interest na kufungua account au kuinvest.

Tulikwenda kumpiga maswali JK hawa wengine ni mengineyo. Tulikwenda kuwinda Tembo mambo ya digidigi peleka mfukoni mwako bro. Hatukwenda kuridhishwa na upumbavu. Hatukuletwa hapa kwa pesa ya serikali tunajua fika jinsi ya kuinvest bongo kwa kikweli sio kwa rushwa. Hivi wewe unafikiri tungefika hapa UK kwa pesa za walipa kodi? Acha unafiki mambo ya kipumbavu baki nayo huko huko brother.

I was there na wewe kama unataka kuinvest mkutano wa investment upo leo na wafanya biashara 50 waliokuja na rais. Point yetu ni kumwona yeye abadili mwelekeo mbovu wa rushwa za Richmondulian and co.

Kufika kwetu huku kunaonyesha how serious we are than them, wanakuja kwa pesa ya walipa kodi ambao hawataki kuwajali.

Kwanza hii post yake sio mahala pake hapa. Hata hivyo nikufahamishe kuwa kwa sababu hukuwepo kwenye presentation yake ndio maana hata maudhui aliyoyaongea hukuelewa kama inavyojionesha katika post yako. Wala yeye pale alikuwa haongelei kuvutia wawekezaji, ila alikuwa anajaribu kuwafahamisha watanzania kile kinachoendelea Tanzania katika sekta ya uwekezaji na ubinafishaji. Na aliweka wazi kabisa hili tangu mwanzo wa presentation yake. Actually, yeye aliongea more sense kuliko JK! Sasa hii ya kujibu kitu usichokijua ndio tatizo lake!

Ahsante lakini kwa mitusi yako, ubarikiwe!
 
Back
Top Bottom