Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,957
Si utamaduni ni ndivyo walivyojiwekea CCM ili waendelee kufaidi madaraka kama vile nchi hii wanaishi waislamu na wakristo tuni kautamaduni
Si utamaduni ni ndivyo walivyojiwekea CCM ili waendelee kufaidi madaraka kama vile nchi hii wanaishi waislamu na wakristo tuni kautamaduni
Kassim Majaliwa atabaki kwenye nafasi yake ya uwaziri mkuu.Unamsababishia Waziri Mkuu shida moyoni maana hajui kama atateuliwa yeye au mwingine
Katiba inasema Waziri Mkuu ni lazima awe mbunge wa jimboKatika hiyo safu yake Makonda atakuwa waziri mkuu
... mbeba maono hapewi hongera mzee! Yeye ni "chombo" tu.Hongera
Mimi sioni shida yoyote hata kama safu yote wakawa waislamu, ilimradi wataongoza kwa mujibu wa sheria na katiba na wazingatie viapo vyao vya uaminifu.Kikwete na Shein na baadae Kikwete na Gharib Bilali wote waislam
Siyo lazima. Katiba haijawekwa sharti hilo. Katiba inasema athibitishwe na bunge kwa 50% ya watakaopiga kura.Sababu ikowazi zenji asingepatikana mkristo kirahisi... Sasa bara wakristo wengi lazma ibalansiwe
That will also be a good choice, but I see Mama Samia blending very well with Majaliwa. Nawaona ni watu wenye hekima na kujali. Ningepata nafasi ya kumshauri Mama ningemwambia kuwa Majaliwa aendelee na nafasi yake, naamini ataimudu zaidi sasa hivi kuliku alivyokuwa chini ya mzee babaMakamba alikua chini ya Mama Samia kipindi yupo kwenye Wizara ya Mazingira na Muungano. Anything can happen!
Hiyo pia itakuwa uamuzi mzuri ili Mama aanze na timu yakeBashiru anapewa ubalozi huko atuachie nafasi wazi
Siyo lazima.Makamu wa Raisi lazima awe mkristo
Sasa itakuaje wote wawe waisilamu...kuanzia waziri mkuu na Raisi na makamuSiyo lazima.
Ha haaa ila mimi sikuwahi ona huu uzi. Lkn nakubaliana na wewendio sifa Kuu ya nabii, acha wale wa kuwashika watu vichwa na kuwasukuma waanguke kwa vitambaa. demi unakosea sema na watu tukapuuza (including you) na sio na watu wakapuuza
Katiba haijaweka sharti la dini popote.Sasa itakuaje wote wawe waisilamu...kuanzia waziri mkuu na Raisi na makamu
Tena awe mbunge wa kuchaguliwa sio wakuteuliwaKatiba inasema Waziri Mkuu ni lazima awe mbunge wa jimbo
Nje ya mada: Hiyo avatar inanidatishs sana.Sasa yametimia.