Tanzania kuwa na Rais mwanamke?

Tanzania kuwa na Rais mwanamke?

Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.

Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
MitanoTena Tena mkuu

Chagua Jimbo
 
Hivi akishamaliza na akaamua kugombea tena na kushinda atatawala kwa mihula miwili Tena au. Hapa Nina maana kwa mfano Mama Samia akimalizia hii miaka minne alafu chama chake kikampendekeza Tena kugombea na akashinda atatawala miaka 10 au??? Hiyo ukijumkisha na hii minne Ina maana atatawala miaka 14 siyo???Kama ndivyo basi Huyu mama ana Zari la kufa mtu.
Sio kumi ni tisa tu hawezi gombea tena kwa mijibu wa katiba rais anatakiwa akae mihula miwili tu na sio zaidi
 
Kikwete na Shein na baadae Kikwete na Gharib Bilali wote waislam
Ilikuwa inakuwa hivyo kwa kuwa makamu walitakiwa kutoka Zanzibar. Na kama unavyojua kule ni vigumu kupata a christian prospect. Lakini kwa mazingira ya sasa,na utamaduni wa CCM,ni vigumu mno kuteuliwa makamu wa raisi muislam. Take this to the bank!
 

Attachments

  • IMG-20210318-WA0011.jpg
    IMG-20210318-WA0011.jpg
    62.4 KB · Views: 28
Huenda na Majaliwa nae yuko safarini ili Samia aapishe Waziri Mkuu
Samia akiishaapishwa hatapangiwa, anaweza kuteua PM mwingine. Kumbuka atakuwa na mamlaka ya kuteua Makamu wa Rais, na hata PM (akiona hataendana na Majaliwa). na atakuwa na mamlaka ya kuwa na Baraza la Mawaziri ambalo mwenyewe ataona litaendana na kasi yake. Usishangae Bashite anaula chini ya Mama Samia!
 
Back
Top Bottom