Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,815
- 40,421
Kina watu mmebarikiwa.Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?