Unajua maana ya ndoto? Tumia ubongo wako vizuri.Ila hii ni 2021.
Unajua maana ya ndoto? Tumia ubongo wako vizuri.Ila hii ni 2021.
Kumbuka ni Rais wa nchi sio mjumbe wa shina, huwezi tangaza bila kujiandaa! Je unatangaza halafu wewe unaambiwa huko huko uliko tusikuona hapa inakuwaje! Maandalizi muhimu sana hata kama ungekuwa wewe, ila ni mawazo yangu!Ameudanganya umma wa watanzia na ulimwengu kwamba Rais ni mzima il hali mtu yuko kwenye mtungi wa oksijen
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Kawaida anapoingia raisi mpya baraza la mawaziri linakuwa limekufa automatikale hivyo mama.samia ataunda upya baraza la mawaziriPM apigwe chini Suluhu apange safu yake
Hapo freshKawaida anapoingia raisi mpya baraza la mawaziri linakuwa limekufa automatikale hivyo mama.samia ataunda upya baraza la mawaziri
Kama angechukua nchi ikiwa imebaki miaka mitatu ya uchaguzi, angeenda miaka kumi na mitatu, yaani hio mitatu aliyomalizia na mihula miwili. Kwakuwa atamalizia miaka minne ya magu, hivyo kama atagimbea, ataongoza muhula mmjoa tu.Hivi akishamaliza na akaamua kugombea tena na kushinda atatawala kwa mihula miwili Tena au. Hapa Nina maana kwa mfano Mama Samia akimalizia hii miaka minne alafu chama chake kikampendekeza Tena kugombea na akashinda atatawala miaka 10 au??? Hiyo ukijumkisha na hii minne Ina maana atatawala miaka 14 siyo???Kama ndivyo basi Huyu mama ana Zari la kufa mtu.
Samia aliandaliwa, alipitishwa kwenye moto na akakiri amenyooka na kumwambia Magufuli apumzike sasa, ili yeye na wenzie walionyooka wawanyooshe wajaoNimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
M sijui hivi huyu samia atamalizia miaka iliyobaki.?
CCM kuna resources za kutosha. Serikali ya CCM ni taasisi iliyokamilika
Angekaa kimya.Kumbuka ni Rais wa nchi sio mjumbe wa shina huwezi tangaza bila kujiandaa! Je unatangaza halafu wewe unaambiwa huko huko uliko tusikuona hapa inakuwaje! Maandalizi muhimu sana hata kama ungekuwa wewe, ila ni mawazo yangu!
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Kwa maana nyingine, endapo maono yataendelea basi Mama Samia atavunja Baraza la Mawaziri!! Na ukweli ni kwamba, hiyo ndio itakuwa salama kwake!!Niliandika hivi mwaka 2017. Sikujua maana halisi ya maono niliyoona.
SASA NIMEELEWA.
Aisee wewe unapaswa kuangalia sana yawezekana unawasiliana na Mungu ili utupatie message Ila inachukulia poa. KudosNimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Bro niangalizie na mimi unanioba wpi miaka 10 ijayoNimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Hivi akishamaliza na akaamua kugombea tena na kushinda atatawala kwa mihula miwili Tena au. Hapa Nina maana kwa mfano Mama Samia akimalizia hii miaka minne alafu chama chake kikampendekeza Tena kugombea na akashinda atatawala miaka 10 au??? Hiyo ukijumkisha na hii minne Ina maana atatawala miaka 14 siyo???Kama ndivyo basi Huyu mama ana Zari la kufa mtu.
What if VP akiwa mwanamke? Sijui lakini nauliza tu.
Majaliwa ndo atakuwa Makamu wa rais
Ngoja tuone ila atakaweteuliwa ni likely kuja kuwa Rais 2025
Sasa kwa Sasa si anamalizia muhula wa mtangulizi wake...je Magu angefariki labda amebakiza mwaka mmoja je?? Ulisema muhula mmoja kwa katiba ya Tanzania ni miaka mitano..Sasa mama atatawala miaka mitatu na miezi Kama Saba ili kukamilisha muhula wa Magu. Itakuwa haijatimia mitano...hapa imekaaje mkuu.
Kama angechukua nchi ikiwa imebaki miaka mitatu ya uchaguzi, angeenda miaka kumi na mitatu, yaani hio mitatu aliyomalizia na mihula miwili. Kwakuwa atamalizia miaka minne ya magu, hivyo kama atagimbea, ataongoza muhula mmjoa tu.
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app