Tanzania kuwa na Rais mwanamke?

Tanzania kuwa na Rais mwanamke?

Huu ni mwaka 2021
... ndivyo unabii/maono yalivyo; usitegemee utakuambia the exact date and time rather it tells some time intervals around some events usually not very clear for everybody to comprehend. Ndio maana sio kila mtu anaweza kufasiri unabii au maono! Kwa mfano 2020 inaweza pia kufasiriwa kama term ya urais 2020 - 2025; lakini pia 2020 iko kwenye mwaka wa fedha wa serikali 2020/2021. So kipindi chochote katika interval hizo kinaweza kuwa sahihi kinabii.

Kwa mfano, enzi za Ahazi, Mfalme wa Yuda, Nabii Isaya alinena unabii huu, "Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanamume, naye atamwita jina lake Imanueli", Isa 7:14. Pengine watu wa nyakati za Isaya walimdhihaki "mbona unabii wako hautimii?" lakini ulikuja kutimia miaka mingi baadaye enzi za kuzaliwa Yesu Kristo. Ninja
 
Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.

Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Imetimia Mungu u sema kupitia watu.
 
Bashite alinyea kambi kwa kuwakanyaga walioopo akiamini mbeleko ni ya milele leo aibu yake sawa na kumwagia boss maji njiani bila kujua huku ukielekea kwenye interview ya Kazi kwa boss huyo huyo.
 
Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.

Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Daaaah!
Aiseee!!
 
Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.

Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Watu wanafukua makaburi jamani. Maono haya yanaishi
 
Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.

Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Hongera
 
Hivi akishamaliza na akaamua kugombea tena na kushinda atatawala kwa mihula miwili Tena au. Hapa Nina maana kwa mfano Mama Samia akimalizia hii miaka minne alafu chama chake kikampendekeza Tena kugombea na akashinda atatawala miaka 10 au??? Hiyo ukijumkisha na hii minne Ina maana atatawala miaka 14 siyo???Kama ndivyo basi Huyu mama ana Zari la kufa mtu.
YES inawezekana kabisa kama akipitishwa na vikao vya chama chake
 
Hatuwezi kuwa na rais na makamu wake wote dini moja!!!
Makamu ni ndugu Willium Lukuvi na Pm atabaki Majaliwa KM. Maona ya waziri mkuu mpya hapo kidooogo ndoto ilivamia na upande wapili....Ova
Hapa ndipo tunapoanguka kama Taifa , Yote haya ni kwa sababu hatuna sheria na kanuni madhubuti nchini ambazo zinawaunganisha watu wa dini zote na wasio dini.

Ingalikuwa kuna sheria ambazo zinawafunga watawala na sheria ambazo wanapokwenda kinyume wanaweza kuwajibishwa kusingalikuwepo ulazima huo wa kuhoji dini ya mtu.
 
ni kautamaduni
 
Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.

Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Hakika imebidi nishangae tu. Au labda ni coincidence tu, kwamba mtu aliota na imetokea?
Kuna mtu mwingine anayejiita "nabii wa ishara" alitabiri januari 2021 kwamba kiongozi wa mhimili mmojawapo (rais, spika, jaji mkuu) atafariki mwaka huu, na kweli imetokea!
Kuna mwingine alitabiri 2012, na thread yake iko huku, na akataja mambo kadhaa ambayo rais huyo angeyafanya na yote kweli yametokea.

Ni muujiza kweli au coincidence? Au kuna waliopanga haya tangu awali wanatumia hao wanaojiita 'manabii" kuujulisha umma kiujanja?
 
Back
Top Bottom