Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 5,736
- 12,160
Wakati mwingine muwe mnaona maono ya faraja pia, sio kila siku maono ya majanga na misiba tu!Niliandika hivi mwaka 2017. Sikujua maana halisi ya maono niliyoona.
SASA NIMEELEWA.
Wakati mwingine muwe mnaona maono ya faraja pia, sio kila siku maono ya majanga na misiba tu!Niliandika hivi mwaka 2017. Sikujua maana halisi ya maono niliyoona.
SASA NIMEELEWA.
Labda wa TFFNa huyu ndiye rais mtarajiwa 2025
Katika hiyo safu yake Makonda atakuwa waziri mkuu
Hivi akishamaliza na akaamua kugombea tena na kushinda atatawala kwa mihula miwili Tena au. Hapa Nina maana kwa mfano Mama Samia akimalizia hii miaka minne alafu chama chake kikampendekeza Tena kugombea na akashinda atatawala miaka 10 au??? Hiyo ukijumkisha na hii minne Ina maana atatawala miaka 14 siyo???Kama ndivyo basi Huyu mama ana Zari la kufa mtu.Katiba ipo wazi Makamu atamalizia kipindi chote kilichobaki
Ahahahahhaha maana anatishamkuu uliona nani mwingne kweny iyo ndoto tujue mapema 😁
Ndivyo ilivyo Mkuu, huyu mama hajakoshewa mkaratusi..by Top in Town..Mama ZuchuHivi akishamaliza na akaamua kugombea tena na kushinda atatawala kwa mihula miwili Tena au. Hapa Nina maana kwa mfano Mama Samia akimalizia hii miaka minne alafu chama chake kikampendekeza Tena kugombea na akashinda atatawala miaka 10 au??? Hiyo ukijumkisha na hii minne Ina maana atatawala miaka 14 siyo???Kama ndivyo basi Huyu mama ana Zari la kufa mtu.
Kwani Mama akiapishwa kimamlaka anaweza kuteua PM mwingine?Unamsababishia Waziri Mkuu shida moyoni maana hajui kama atateuliwa yeye au mwingine
Hakuna mahala nilionyeshwa msiba au jambo baya.Wakati mwingine muwe mnaona maono ya faraja pia, sio kila siku maono ya majanga na misiba tu!
Dah we hatari na nusuNimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Shauri yako,we mchochee,utashangaa kesho anaota unabeba bladaDuuh! Mungu alikuonyesha!! tengeneza uhusiano wako, utaona vingi vya sirini?!
hii kiufundii tunaitajee kwako mwalimu kashasha?Yametimia
[emoji23][emoji23][emoji23]Humu jamii forum HADI MAJINI MAKATA YAPO KUWENI MAKINI