Tanzania kuwa na Rais mwanamke?

Tanzania kuwa na Rais mwanamke?

Hatuwezi kuwa na rais na makamu wake wote dini moja!!!
Makamu ni ndugu Willium Lukuvi na Pm atabaki Majaliwa KM. Maona ya waziri mkuu mpya hapo kidooogo ndoto ilivamia na upande wapili....Ova
Pengine unachosema kikawa kweli au kisiwe. Tusubiri.

Lakini pia huenda hili lililotokea ndio jibu la tafsiri ya kile nilichooneshwa wakati ule. Kumbuka niliona maono katika mazingira ambayo huenda ungesoma hili wakati ule ungeniita kichaa.

Najua unaelewa ninachomaanisha.
 
Back
Top Bottom