Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,464
- 8,646
nafuatilia
Acha utapeli wa kujitia muota ndoto. Umepatia kwa vile tunaye waziri mkuu mwanamke aitwaye Lamecka MwiguluuNimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Upo??????Naona hii ramli imetimia.