Niliandika hivi mwaka 2017. Sikujua maana halisi ya maono niliyoona.
SASA NIMEELEWA.
Salute to you!! Sasa Em jitahidi muonee supi kaa huoni akiapishwa mmama hiviiii??? So kwaubaya lkn sio lazima kifo!!!Pengine unachosema kikawa kweli au kisiwe. Tusubiri.
Lakini pia huenda hili lililotokea ndio jibu la tafsiri ya kile nilichooneshwa wakati ule. Kumbuka niliona maono katika mazingira ambayo huenda ungesoma hili wakati ule ungeniita kichaa.
Najua unaelewa ninachomaanisha.
Heshima yako mkuuNimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Umetisha sanaaa CaptainNiliandika hivi mwaka 2017. Sikujua maana halisi ya maono niliyoona.
SASA NIMEELEWA.
Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Kikwete na Shein na baadae Kikwete na Gharib Bilali wote waislamHatuwezi kuwa na rais na makamu wake wote dini moja!!!
Makamu ni ndugu Willium Lukuvi na Pm atabaki Majaliwa KM. Maona ya waziri mkuu mpya hapo kidooogo ndoto ilivamia na upande wapili....Ova
huyu si pacha wako, hebu mwendee taratibu akunong'oneze nawe utunong'onezemkuu uliona nani mwingne kweny iyo ndoto tujue mapema 😁
Makonda hawezi kuwa Waziri Mkuu, Katiba inataka Waziri Mkuu atoke Kati ya Wabunge wa KuchaguliwaKatika hiyo safu yake Makonda atakuwa waziri mkuu
Katiba ipo wazi Makamu atamalizia kipindi chote kilichobakiM sijui hivi huyu samia atamalizia miaka iliyobaki.?
Mkuu..Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Makonda tenaaaa!!! Aaarghhhhh!!!! 😟Makonda hawezi kuwa Waziri Mkuu, Katiba inataka Waziri Mkuu atoke Kati ya Wabunge wa Kuchaguliwa
Na watu walikupuuza kweliNiliandika hivi mwaka 2017. Sikujua maana halisi ya maono niliyoona.
SASA NIMEELEWA.